Bongo-mpya
JF-Expert Member
- Nov 10, 2020
- 311
- 244
Kama Mbowe ni gaidi na amechunguzwa na kupatikana kwa haraka hivyo, je ni kwa nini mauaji, upotevu wa watu, kupigwa risasi Lissu na mauaji ya waliouawa wakati wa mikutano ya uchaguzi Kinondoni, Mwanza na kwingineko, hadi leo hawajachukuliwa hatua?
Ama selective justice?? Justuce hutendeka tu anapoguswa mtu kutoka serikalini na chama pendwa?
Kwa kweli kauli za polisi wetu mara nyingi zinaonekana za kitoto sana kwani hata mtoto wa miaka mitano anaweza kureason kuwa Mbowe hawezi kufanya ugaidi! Ila kuna kikundi kinataka kulinda kazi zao na bila kutoa sababu ya ajabu kama hiyo hawawezi kutoka katika shimo walilojiingiza kwa kumkamata mwenyekiti kama Mbowe bila ya sababu ya maana.
Poleni sana polisi wa Mwanza na wasaidizi wenu wa Dodoma!
Ila namlilia Rais SSH, Mwanandenja wa kwanza kuwa rais East Africa kujiingiza katika sifa za ukatili!
Let us hope it be resolved sooner than later for the sake of the nation!! Amen!