Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

Kama Mbowe ni gaidi na amechunguzwa na kupatikana kwa haraka hivyo, je ni kwa nini mauaji, upotevu wa watu, kupigwa risasi Lissu na mauaji ya waliouawa wakati wa mikutano ya uchaguzi Kinondoni, Mwanza na kwingineko, hadi leo hawajachukuliwa hatua?

Ama selective justice?? Justuce hutendeka tu anapoguswa mtu kutoka serikalini na chama pendwa?

Kwa kweli kauli za polisi wetu mara nyingi zinaonekana za kitoto sana kwani hata mtoto wa miaka mitano anaweza kureason kuwa Mbowe hawezi kufanya ugaidi! Ila kuna kikundi kinataka kulinda kazi zao na bila kutoa sababu ya ajabu kama hiyo hawawezi kutoka katika shimo walilojiingiza kwa kumkamata mwenyekiti kama Mbowe bila ya sababu ya maana.

Poleni sana polisi wa Mwanza na wasaidizi wenu wa Dodoma!

Ila namlilia Rais SSH, Mwanandenja wa kwanza kuwa rais East Africa kujiingiza katika sifa za ukatili!

Let us hope it be resolved sooner than later for the sake of the nation!! Amen!
 
Kama Mbowe ni gaidi na amechunguzwa na kupatikana kwa haraka hivyo, je ni kwa nini mauaji, upotevu wa watu, kupigwa risasi Lissu na mauaji ya waliouawa wakati wa mikutano ya uchaguzi Kinondoni, Mwanza na kwingineko, hadi leo hawajachukuliwa hatua
Utalia sana mbowe anatuhuma nzito usiijiingize mkenge


USSR
 
Tunatoza maskini miamala ya simu halafu tunatumia kodi za wananchi kwa kukamata watu na kuwasafirisha kutoka Mwanza mpaka Dar na kurudi Mwanza kwa ajili ya mambo yasiyokuwa na manufaa kwa taifa?

SSH being a woman sikutegemea jambo kama hilo litendeke under her watch! Kweli? Ugaidi? Mbowe? Wakati mwendazake ameondoka scot free kwenye anga za polisi hawa mashujaa?

What a joke!

This can only happen in Tanzania ya awamu ya tano !!!! I hope siyo ya awamu ya sita pia because I would be very disappointed!!
 
Kama Mdude walimbambikia madawa na watu zaidi ya Mia wametolewa jela kwa kubambikiwa Nani ataliamini Jeshi la polisi la Tz???????
 
Ukisoma kile kipeperushi cha Polisi chenye tuhuma za kubumba na za kitoto dhidi ya Freeman Mbowe utaona inasomeka 22.07.2020.

Hii inaonyesha barua hio iliandikwa kwa pressure au kwakuthibitisha ujinga na uhuni wa Jeshi la CCM la Polisi. Time will tell
 
Hii ngoja niiweke kama reference kwa siku za usoni, unaweza ukawa uko sahihi.
 
Hebu jaribuni kunipata mimi kwa kutumia hiyo Google na nitatoa ushuhuda humu javini nikiwa mikono salama yenu watumia Google.
Yaani wewe, huyo dikteta mwanamke na mfumo wenu wote mshirikiane.
 

YAANI mBOWE NI MJINGA KIASI GANI KUWEKA MISALA YAKE KWENYE LAPTOP YAKE?
 
Hiyo haiondoi kuwa mbowe ni gaidi ,pongezi Sana kwa rais wetu

USSR
 
Iko wapi hiyo barua!
 
Ni hivi, kama kweli Mbowe ni gaidi basi anyongwe tu, yeye na wanaharakati wetu uchwara waliojazana hapa nchini wakati hawana lolote la maana walifanyalo zaidi ya kupiga kelele. Yeyote anayeua na kupanga ujangili dhidi ya viongozi wa nchi ni adui wa nchi, anyongwe Mbowe na wenzake wote walioshiriki. Turudishe heshima ndani ya nchi yetu, kumbe ndiyo maana Lissu anaogopa kurudi nchini, kabaki tu Ulaya kubinywa pumbu na wazungu.
 
Kwani polisi wa Tanzania wanajuwa kusoma, kutamka maneno yenyewe shida kwao? We kijana niretee rire rijitu niribamize, yaani shida kweli.
 
Nampongeza rais Suluhu kwa kutokurupuka kumnasa Mbowe mapema. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, sitoend mbali na kuwaboa kwa kuandika gazeti hapa. Kuna maongezi ya kina Mbowe ambayo ni nyeti yalinaswa na serikali na baada ya hapa wakaanza kufuatiliwa taratibu mpaka serikali ikajiridhisha nayo ndipo wakamkamata huyu gaidi. Hasira za kukosa urais zimemponza Mbowe na Lissu na ndiyo maana Lissu hataki kurudi nchini anaogopa kunyongwa.
 
Pot anaonekana mchele mchele

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…