Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

dah! bas itakuwa lile bomu la machozi la mwandish, na risasi ya akwilina alipiga mbowe..😱
 
Sio kirahisi hivyo acha kutisha watu ni Rais huyu huyu aliwahi kusema bado hawana uweo wa kumkamata Kigogo? Magu alijaribu akashindwa,unadhani Google wako tayari kuruhusu kuingilia faragha za watu kijingajinga tu hivyo, Haya basi tuleteeni KIGOGO si yupo hapa nchini! si mna mauwezo, nasema tena kwa hali ilivyo ndani ya chama cha mapinduzi kwa sasa hakina ushawishi wa kisiasa, ili kiendelee kuwepo lazima kitumie nguvu,CCM inapigania Roho muionee huruma tu maana matendo yake na maamuzi yake ya sasa hayatofautiani na ya mtu anayetoka usingizi wa nusu kaputi,ukimuona mwanasiasa anaishiwa uongo tambua anguko lake liko karibu.
 
Nikikwambia mama kapewa taarifa za inteligence kuhusu sakata lote na kapigwa na butwaa na kuacha polisi na vyombo vya uchunguzi vifanye kazi yake utabisha?
Tulieni kamanda na genge wachunguzwe, kama hawana hatia wataachiwa kama wana hatia na kama wanahusika na laifu la mpendwa wetu jpm, ni nora wakalae jela maisha maana mtaani tutatoboa macho yao na penseli zenye mcha kali.
 
JE kweli hayo yanatokea moyoni mwako?

Mie naona kama washangalia tu matakataka ya Mwendazake uliyokuwa ukiyashabikia, kuendelea kuzizima baada kutajiwa uhitaji wa KATIBA MPYA.

Kama Makaburu SA mtaondoka tu.

PENYE mahitaji ya haki, kamwe shetani hawezi kushinda, huwa anafurukuta tu.
 
Time will tell, unafurahi watanzania wenzako kubambikiwa makosa ya kumnyima dhamana. Muda utaongea!
umejuaje kama kabambikiwa?

ushahidi ndio utakao ongea mahakamani.

Watanzania hawapendi watu wahalifu, binafsi nawachukia sana watu wahalifu ambao kazi yao kupanga mauaji.

sasa huwezi kujua amesha ua wangapi ambao hatuwajui ila Mungu pekee ndiye anaye jua.

wacha avune dhambi alizo zitenda.
 
Lisu alikuwa anapewa na nani taarifa za kwamba Magufuli anaumwa na hatapona?

Bila shaka laptop za mbowe zilizokamatwa zimesema mengi kuhusu kundi la kigaidi.

Magu yeye mwenyewe alijitengenezea maadui kumzunguka na ndio waliokuwa wanatoa taarifa. Haikuwa vigumu kwani alikuwa mtu wa kupenda sifa, kwa hiyo asingekubali kukaa kimya kama ni mzima.

NB: Tuendelee kufuata masharti ya WHO kujikinga na Covid, usidanganywe tena na wahuni covid ipo na inaua.
 
Hao vuongozi wa serikali walipangwa kuuawa na Mbowe ni akina nani? Hao watuhumiwa wengine 6 ni akina nani na walikamatwa lini na kufikishwa mahakamani? Kweli nchi hii itaharibiwa na tuliowaamini watuongoze
 
Kama kawaida yao. Taarifa za inteligensia!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…