Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

dah! bas itakuwa lile bomu la machozi la mwandish, na risasi ya akwilina alipiga mbowe..😱
 
Acha sheria ichukue mkondo wake, mbona dogo una haraka gani? Na kwa taarifa yako messages zako zote kwenye simu au computer yako hata ukizi delete kwenye device yako bado zinaweza kuwa retrieved from google. Hata maongezi yako kwenye simu yote yanaweza kuwa retrieved from google kirahisi tu. Hata wewe uliyejificha humu Jf kwa pseudo identity wakitaka kupata identity yako ni rahisi tu kupitia google. Usidhani umejificha na kwamba unaweza kufanya ugaidi wasikutambue. Ndiyo maana Osama bin Laden hakuwa na simu wala electronic device yo yote. Ndiyo maana zoezi la kumpata au.kupata ushahidi ya tuhuma zake zilikuwa ngumu sana. Halafu jua kwamba siyo kila kesi inayoendeshwa mahakamani iwe ya hadhara. Kesi inaweza kuendeshwa under camera.
Sio kirahisi hivyo acha kutisha watu ni Rais huyu huyu aliwahi kusema bado hawana uweo wa kumkamata Kigogo? Magu alijaribu akashindwa,unadhani Google wako tayari kuruhusu kuingilia faragha za watu kijingajinga tu hivyo, Haya basi tuleteeni KIGOGO si yupo hapa nchini! si mna mauwezo, nasema tena kwa hali ilivyo ndani ya chama cha mapinduzi kwa sasa hakina ushawishi wa kisiasa, ili kiendelee kuwepo lazima kitumie nguvu,CCM inapigania Roho muionee huruma tu maana matendo yake na maamuzi yake ya sasa hayatofautiani na ya mtu anayetoka usingizi wa nusu kaputi,ukimuona mwanasiasa anaishiwa uongo tambua anguko lake liko karibu.
 
Nikikwambia mama kapewa taarifa za inteligence kuhusu sakata lote na kapigwa na butwaa na kuacha polisi na vyombo vya uchunguzi vifanye kazi yake utabisha?
Tulieni kamanda na genge wachunguzwe, kama hawana hatia wataachiwa kama wana hatia na kama wanahusika na laifu la mpendwa wetu jpm, ni nora wakalae jela maisha maana mtaani tutatoboa macho yao na penseli zenye mcha kali.
 
Mbowe and his fellow tricked us by using agenda of "Constitutional reforms" as a shield while knowing that would be arrested any time in connection with terrorist act.
they will be charged with the offence of terrorist Not for demanding constitutional reforms.
JE kweli hayo yanatokea moyoni mwako?

Mie naona kama washangalia tu matakataka ya Mwendazake uliyokuwa ukiyashabikia, kuendelea kuzizima baada kutajiwa uhitaji wa KATIBA MPYA.

Kama Makaburu SA mtaondoka tu.

PENYE mahitaji ya haki, kamwe shetani hawezi kushinda, huwa anafurukuta tu.
 
Time will tell, unafurahi watanzania wenzako kubambikiwa makosa ya kumnyima dhamana. Muda utaongea!
umejuaje kama kabambikiwa?

ushahidi ndio utakao ongea mahakamani.

Watanzania hawapendi watu wahalifu, binafsi nawachukia sana watu wahalifu ambao kazi yao kupanga mauaji.

sasa huwezi kujua amesha ua wangapi ambao hatuwajui ila Mungu pekee ndiye anaye jua.

wacha avune dhambi alizo zitenda.
 
Lisu alikuwa anapewa na nani taarifa za kwamba Magufuli anaumwa na hatapona?

Bila shaka laptop za mbowe zilizokamatwa zimesema mengi kuhusu kundi la kigaidi.

Magu yeye mwenyewe alijitengenezea maadui kumzunguka na ndio waliokuwa wanatoa taarifa. Haikuwa vigumu kwani alikuwa mtu wa kupenda sifa, kwa hiyo asingekubali kukaa kimya kama ni mzima.

NB: Tuendelee kufuata masharti ya WHO kujikinga na Covid, usidanganywe tena na wahuni covid ipo na inaua.
 
Hao vuongozi wa serikali walipangwa kuuawa na Mbowe ni akina nani? Hao watuhumiwa wengine 6 ni akina nani na walikamatwa lini na kufikishwa mahakamani? Kweli nchi hii itaharibiwa na tuliowaamini watuongoze
 
Back
Top Bottom