Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

yaani ma CCM ni miogaa sawa na kunguruu tuu, kusikia mbowe ameenda kwenye kongamano la katiba tuu yakaona ni bora yamfungulie kesi ya uhaini sijui ugaidi

hahaaaa haaaa!!
 
Huo ndio ujinga wa ccm Tumeona juzi tu kwenye tozo mpya watu hawatumii akili sana kufanya mambo.
 
Chadema tulieni dawa iwaingie...

Mnamchukulia poa mama sasha....ngoja awanyooshe.
 
Bila kupoteza Muda nimepenyezewa za chin chini kua Mbowe alijua kua Tayar usalama umesha Mtambua Yeye ni Nan na mipango yake hata kabla ya kongamano la Katiba Kuanza ivyo akaona njia salama ya yeye kupata Utetezi ni siasa...
Kawasimulie wazazi wako kijijini kwenu huo ujinga!
 
Kwahiyi màgufool alijuaje Lissu atapigwa risasi mpaka akasema

' huwezi kuwa msaliti halafu ukasurvive'
 
Bila kupoteza Muda nimepenyezewa za chin chini kua Mbowe alijua kua Tayar usalama umesha Mtambua Yeye ni Nan na mipango yake hata kabla ya kongamano la Katiba Kuanza ivyo akaona njia salama ya yeye kupata Utetezi ni siasa...
Kama Mbowe na chadema waliweza kujua kuwa jiwe anaumwa na hatopona, basi mumeajiri idala ya usalama isiyokuwa na weledi!! hivyo muache kuweka makada wa chama kwenye kitengo nyeti Kama hicho!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…