Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

"Mama anaupiga mwingi'
"Tulieni dawa iwaingie"😂😂😂 kigogo bhn anamisemo
 
Mbowe na wenzake ni magaidi.

hatuko tayari kuwatetea watu amabao wanahatarisha usalama wa nchi yetu, kamwe hili haliwezi kuvumiliwa.

Mbowe na genge lake ni wahalifu kama wahalifu wengine. ila Mbowe alijificha kwenye uongozi wa chama na madai ya katiba mpya akijaribu kuwahadaa watanzani na dunia kumbe ni muhalifu wa vitendo vya kigaidi.
 
Mbowe kakwaa kisiki cha Mama.

JPM was fair kabisa ila wakamuona mshamba. Ngoja tuone moto wa mama wa kizanzibari.
 
Bila kupoteza Muda nimepenyezewa za chin chini kua Mbowe alijua kua Tayar usalama umesha Mtambua Yeye ni Nan na mipango yake hata kabla ya kongamano la Katiba Kuanza ivyo akaona njia salama ya yeye kupata Utetezi ni siasa...
Kwahiyo Mbowe kamuua Magufuli?Basi Nchi nzima hatuko salama vikosi vyote vya ulinzi na usalama vivunjwe
 
Matusi yenu HAYATAWASAIDIA kupata katiba mpya.....

Kedi zenu HAZITOWASAIDIA LOLOTE.....

Watanzania wamewashtukia ninyi mawakala wa NCHI ZINAZOPENDA UKOSEFU WA UTULIVU BARANI AFRIKA....

ENDELEENI KUJIOTESHA NDOTO ZA MCHANA
Anayekula nyama ya mtu haachi , zamu yako haiko mbali
 
Ila tukisema ukweli viongozi wetu Wana matatizo ya akili Yani wanashindwa kudili na mambo ya kuwainua Wananchi kiuchumi wao wanahangaika na makesi ya kubambikia watu eti ni magaidi.Kumuonea binadamu Mwenzako ni kutafuta laana.
 
Siasa zipi za kizamani,kudai katiba ya wananchi?

Au kutaka katiba iliyopo iheshimiwe?

Toeni bongo zenu matakoni na tumboni,wekeni bongo zenu kichwani mtaona mlivyokuwa watumwa
 
DPP Mwakitalu - mtego wako wa kwanza ndio huu - utapeleka kesi mahakamani au utaona haina mashiko?
 
Sasa kaka yake Mbowe alikuwa na ubishi na ujinga gani hadi ang'olewe na corona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…