Uko sahihi, wako katika harakati za kupigania uhuru. Kama wewe unaiona uko huru, basi wewe ni mtawala. Kama hakuna katiba inayo elekeza mipaka na majukumu ya mtawala na mtawaliwa, hapo mtawaliwa hayuko huru.Hakuna kiongozi yeyote makini anaetaka amani na utulivu akawavumilia chadema na huu ndo ukweli Chadema mnafanya siasa za kizamani sana mnafanya siasa zilizokuwa zinafanyika enzi za kupigania uhuru
JPM ndo aliwaweza vzr Gwanda zilikuwa night dress mnazivaa usk wkt wa kulala
mkuu Detective Jnafikiri hilo ni suala la mahakama. police ni wawezashaji tu. mahaka ndio wahamuzi
Katiba ya nchi inatambuliwa kuwa ni sheria kuu au ya msingi inayoweka mihimili mikuu mitatu ambayo ni Dola, Bunge na Mahakama. Inafafanua majukumu ya kila mhimili na kutoa mgawanyo wa madaraka miongoni mwa mihimili hiyo. Tovuti Kuu ya Serikali: Katiba www.tanzania.go.tz/home/pages/8mi sidhani kama katiba mpya ni dawaya kuifanya nchi ikaishi kama iko peponi katiba mpya ni tamaatu ya madaraka kwa upande wampili yaani wapinzani ambao wanaamini kila uchaguzi wanaibiwa kura wanachowinda hapo ni tume huru ya uchaguzi tu
Bila katiba ya kueleweka, juhudi za mwananchi ni bure, hutapata maendeleo yoyote. Kwa nini mali za watu zilitaufishwa? Kwa nini leo serikali inakunyang'anya pesa yako kupitia agizo la tozo za miamala? Wanajua huna pa kulalamika. Mahakama wameishika, ukinyosha kidole kuhoji, unanyamazishwa, utapotezwa. Ukihurumiwa utapelekwa huko mahakamani na nini kiamuliwe kitapangwa na dola.Siasa usipokuwa makini maneno yako mwenyewe yanaweza kukuzika mwenyewe.Mngeacha tu mambo ya serikali yajiendeshe yenyewe maana na hata kuwekana wanawekana wenyewe.Utachagua lakini walioikalia serikali watamweka wanaemtaka yeye.Sasa wewe digdig unaacha kukazana na kuitawala familia yako kiuchumi ilmradi nawe uwepo wako home uonekane...umekazana mama samia mama samia.Mnajiumiza bure tu.
Uhuru tunaotakiwa kupigania ni wa uchumi .Uko sahihi, wako katika harakati za kupigania uhuru. Kama wewe unaiona uko huru, basi wewe ni mtawala. Kama hakuna katiba inayo elekeza mipaka na majukumu ya mtawala na mtawaliwa, hapo mtawaliwa hayuko huru.
Tuambie Katiba Mpya itazuiaje tozoBila katiba ya kueleweka, juhudi za mwananchi ni bure, hutapata maendeleo yoyote. Kwa nini mali za watu zilitaufishwa? Kwa nini leo serikali inakunyang'anya pesa yako kupitia agizo la tozo za miamala? Wanajua huna pa kulalamika. Mahakama wameishika, ukinyosha kidole kuhoji, unanyamazishwa, utapotezwa. Ukihurumiwa utapelekwa huko mahakamani na nini kiamuliwe kitapangwa na dola.
Potelea mbali.Hii movie kuhusu viongozi wa CHADEMA imeandaliwa kwa kiwango cha chini mno na inaabua maswali mengi kuliko majibu kuzidi hata ile ya kutekwa kwa MO.
Na kwakuwa jambo hili linaonekana kugusa hisia za watu wengi na kuvuka mipaka ya nchi huku shinikizo likiongezeka, sitashangaa wakati wiwote wakatafutwa watu wa kubebeshwa lawama na hao wanaweza kuwa ni Sirro na pengine hata Boss wa TISS
Inawezekana Mama asiwe na wazo la kubebesha mtu lawama kwa makosa yake, ila wanasiasa wenzake na ambao ni wakongwe ndani ya chama, wanaweza kumshauri afanye uamuzi wa kuwato watu mbuzi wa kafara ili kulinda image yake.
Tuhuma hizi ni nzito, ngumu kuzithibitisha na inaonekana walizi-underestimate huku dunia ikifuatilia, hivyo ni lazima wajisafishe na katika kujisafusha huko, Sirro ndio anaeweza kuwa wa kwanza kubebeshwa zigo la lawama kwa kuondolewa katika nafasi yake huku Boss wa TISS nae akikalia kuti kavu.
Tusubiri.
Hivi unafikiri mimi ni mpumbavu kama wewe uliyeweka akili zako matakoni!Unajuaje kama polisi ni waongo, kwani ww uko ktk intelijensia yao. Usiropoke tu, kama wametuhumu kwa ugaidi watampeleka OPEN COURT na ushahidi wao na kila kitu kitawekwa wazi. Be informed please...
We sho*g*a bora ukaolewe hukoHili li Mb(o)w(e)a bora likafie jela huko... lina mambo mengi ya kipuuzi sana... hv mzazi wako anakuomba na kukusihi namna ile we unambeza na unaishi kwake unadhani atakuacha we km nani?
bora likafie jela hili lip*mbav*
Hata Magu alianza vizuri madikiteta wote mwanzo wanaanzaga vizuriNani anafanya kazi nyuma ya Mama na kum'badilisha ghafla misimamo yote aliyoanza nayo na kuiamini?
Wewe ni mgumu wa kuelewa tu!Kwa hiyo kipofu huwa hana FIKRA?!!!!
Namkumbuka mwalimu wangu wa HESABU...alikuwa ni MLEMAVU wa macho(KIPOFU)!
#KaziIendelee
#VivaCCM
Wenye low IQ kila kitu tutatupia katibaBila katiba ya kueleweka, juhudi za mwananchi ni bure, hutapata maendeleo yoyote. Kwa nini mali za watu zilitaufishwa? Kwa nini leo serikali inakunyang'anya pesa yako kupitia agizo la tozo za miamala? Wanajua huna pa kulalamika. Mahakama wameishika, ukinyosha kidole kuhoji, unanyamazishwa, utapotezwa. Ukihurumiwa utapelekwa huko mahakamani na nini kiamuliwe kitapangwa na dola.
Mchimba shimo huingia mwenyewe ngoja amalize wapinzani aje kwenu si ulimsikia Antony DialloNisahihi kabisa atakuwa gaidi na wanashirikiana na makamu wake kuhakikisha nchi haitawaliki HILI ndiyo lengo kuu la magaidi wote Duniani.
Wamuongeze na kosa la kuhamasisha maambukizi ya corona kwa kukusanya wananchi wa Mwanza kinyume na maelekezo ya serikali na kufifisha jitihada za kupambana na corona kama zilivyotolewa na shirika la afya Duniani.
Nani apange njama ya kuua mijitu yenyewe yalishaharibu mahusiano yao na Mungu. Acha wafe kwa utaratibu wa Mungu,hakuna mkono wa binadamu hapo kama walivyokuwa wanataka Sept.7!Baada ya upekuzi wa Polisi kukamilika nyumbani Kwa M.Kiti Mbowe, tumepokea taarifa za kushtua na kushangaza kuwa Polisi wamemwambia kuwa ataunganishwa kwenye kesi ya Ugaidi na watuhumiwa walioko gereza mojawapo DSM. Tutaendelea kutoa taarifa za kina hapo baadaye.
View attachment 1862953
====
UPDATES;
=====
TAARIFA KWA UMMA
JESHI LA POLISI LAMTUHUMU MWENYEKITI WA CHAMA
MHE.FREEMAN MBOWE NA "MAKOSA YA UGAIDI"
Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Freeman Mbowe alifikishwa Dar es Salaam jana majira ya saa tatu usiku chini ya ulinzi wa Polisi , walimpeleka nyumbani kwake Mikocheni Kwa ajili ya kumfanyia upekuzi ambao ulichukua takribani saa mbili na nusu.
Baada ya upekuzi huo Polisi waliondoka na Kompyuta mpakato (Laptop) na Vishikwambi (tablets) za watoto wake, Kompyuta mpakato moja ya kwake na modem ya Internet Kwa ajili ya uchunguzi wao.
Leo majira ya saa Saba mchana Polisi walimfikisha Mhe. Freeman Mbowe Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam kwa ajili ya mahojiano na kuchukua maelezo yake.
Polisi walitaka maelezo kutoka Kwa Mhe. Freeman Mbowe kuhusiana na kosa waliloliita 'KULA NJAMA ZA KUTENDA KOSA LA UGAIDI'
Baada ya maelezo hayo ya Polisi Mhe. Freeman Mbowe alitumia haki yake ya kisheria na aliamua kutokutoa maelezo yoyote Polisi kwa mujibu wa Sheria. Baada ya maelezo hayo Polisi wamemrejesha Mhe. Freeman Mbowe katika Kituo cha Polisi cha Oysterbay ,Jijini Dar es Salaam.
Aidha , viongozi wengine waliokuwa wanashikiliwa Mkoani Mwanza wameendelea kushikiliwa na Jeshi la Polisi na baadhi yao walifanyiwa upekuzi nyumbani kwao na vyumba vya hotel ambako walikuwa wameshukia .
Waraka wa Mbowe kwa Watanzania
Mwenyekiti Taifa Mhe. Freeman Mbowe ametuma waraka kwa Watanzania kama ifuatavyo;
"Hatimaye madai ya Katiba Mpya yamenisababishia kesi ya ugaidi, nipo tayari kwa mashtaka ya kuchongwa siogopi. Ninaamini Dunia itaujua ukweli wa kile kinachoendelea Tanzania na kile tunachokipitia Watanzania. Lakini pia itajua ukweli juu ya makosa haya ya kuchongwa.
Natoa wito kwa watanzania kuendeleza mapambano, haki hutafutwa” Mhe.
Freeman Mbowe.”
Imetolewa leo Alhamisi tarehe 22 Julai, 2021.
John Mrema
Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje.
=====
UPDATE:
View attachment 1863559
View attachment 1863560
Jela na hospital hazina mwenyewe.Sabaya aliwasweka jela watu wametoka kaingia yeyeKwa hiyo Mbowe ananyea kwenye ndoo yenye kinyesi na kulala kwenye kunguni saivi ?