Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Sawa mkuu.....Wewe ni mgumu wa kuelewa tu!
Nimekwambia ,, wewe ni kipofu usiye na fikra:- kwa maana vipofu huwa na fikra kama binadamu wengine ,, lakini KIPOFU WEWE HAUNA FIKRA.
Na sababu itakuwa ni ushamba au ubinafsi.
Ushamba - kwamba bado haujajua dunia ilivyo na inakoelekea.
Ubinafsi - ni kwamba ukishiba wewe basi hautaki na wengine washibe.
Nimeona nikufafanulie usije ukasema nakutukana.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Ushamba wangu ni kutamani kuiona amani na UTULIVU ukitamalaki ili niendelee kuwatafutia DONA wanangu.....
Sihitaji kupambana na nisiowaweza.....
Dunia nimeshaijua kupitia ELIMU shuleni ,sekondari ya juu na vyuo vikuu ,kamwe siwezi kukubali kuvunjwa miguu kwa sababu ya wanasiasa....hasa aina ya mwekezaji Mh.Mbowe......
Kushiba na kula ninakula jasho langu la kutafuta DONA la Kila siku huku uswazi.....
ENDELEENI KUPAMBANA NA WANASIASA WENYE NGUVU