Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

Sawa mkuu.....

Ushamba wangu ni kutamani kuiona amani na UTULIVU ukitamalaki ili niendelee kuwatafutia DONA wanangu.....

Sihitaji kupambana na nisiowaweza.....

Dunia nimeshaijua kupitia ELIMU shuleni ,sekondari ya juu na vyuo vikuu ,kamwe siwezi kukubali kuvunjwa miguu kwa sababu ya wanasiasa....hasa aina ya mwekezaji Mh.Mbowe......

Kushiba na kula ninakula jasho langu la kutafuta DONA la Kila siku huku uswazi.....

ENDELEENI KUPAMBANA NA WANASIASA WENYE NGUVU
 
Jela na hospital hazina mwenyewe.Sabaya aliwasweka jela watu wametoka kaingia yeye
Ni Bora uende jela kwa kupambania kihalali DONA la watoto.....

Ninamshangaa Pambalu anayekwenda RUMANDE kwa sababu ya mapambano ya MBOWE NA WANASIASA WENYE NGUVU KUBWA.....

#KaziIendelee
 
Ni Bora uende jela kwa kupambania kihalali DONA la watoto.....

Ninamshangaa Pambalu anayekwenda RUMANDE kwa sababu ya mapambano ya MBOWE NA WANASIASA WENYE NGUVU KUBWA.....

#KaziIendelee
Wapo ofisini Kazi ya mwanasiasa ni kupambania siasa.Mdomo kalamu
 

Kumbe wewe ni sikio la kufa. Unataka uambiwe nini ndipo ujue kwamba ICC sio baraza la wananzengo? Muulize Lissu na Mamluki wake watakusimulia!
 
Ndilo ulilochagua,, una haki.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kwa Wenye AKILI KUBWA Tatizo kubwa la Kukamatwa kwa Mh.Mbowe ni Suala la KONGAMANO la KUDAI KATIBA MPYA.
Suala la UGAIDI ni Kumbambikizia KESI ili Awe MAHABUSU asiendeleze KONGAMANO LA KUDAI KATIBA MPYA.
Tumewasikia Baadhi ya WAKUU wa MIKOA wakipiga MARUFUKU Mikusanyiko Yote Yakiwemo MAKONGAMANO.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza
Mkuu wa Mkoa wa Iringa
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma tutarajie Mikoa yote na Wilaya zote na Kata zote zimepewa Maagizo ili KUZUIA MAKONGAMANO ya CHADEMA kudai KATIBA MPYA. Hebu JIULIZE Kama Sio KONGAMANO kwanini Mh.Mbowe Arudishwe MWANZA?


Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Alikosa kibali cha kukusanyika
 
... unauliza jibu bro? Tatizo ni Katiba Mpya hayo mengine ni visingizio vya kijinga tu!
 
Mungu apishie mbali, asije akafanyiwa Kama Mashekhe wa Uamsho , upelelezi miaka nane haukamiliki.
 
Ugaidi ni shtaka zito, nia inaweza kuwa ni kumweka chini ya ulinzi kwa muda mrefu au kumfunga kwa muda mrefu ili kutuliza moto wa kutaka katiba mpya. Hii sii njia sahihi hata kwa serikali yenyewe. Huku kutachafua taswira nzuri iliyokwisha kujitokeza kwa serikali hii ya awamu ya 6. Nimeona nchi na magazeti duniani yakiandika habari hizi na kulichafulia Taifa letu. Kitu cha msingi ni kujenga tena confidance ya wawekezaji na sii kujenga tena taswira za unyanyasaji wa haki za binadamu na kuiponda Katiba. Tunaweza tena kutumbukia kwenye njia ileile ya awamu iliyopita na kuishia kuanza siasa za kupigania Uhuru oor mabeberu, ooh mafisadi nk. Hii ikiwa ni kujustify kwa nini wawekezaji hawana tena uhakika wa kuwekeza nchini mwetu. Hata hatua za serikali hii kufufua uchumi zitakuwa ndoto za nchana.
 
Bwana Sumve 2015, labda unataka kujenga dhana potofu kuwa walimchagua Mwendazake ni majority sijui umetumia kigezo gani. Kama ni kweli vurugu zote zile zilikuwa za nini nchi nzima? Je mnafikiri mnaweza kumweka kiongozi wenu madarakani bila makabila mengine? Hii dhana iliyojengwa na serikali ya awamu ile haikuwa nzuri ingepelekea kuivunja TZ vipande vipande.
 
Moto wa katiba ipi mkuu? si mnataka haki? wacha washughulikiwe kwa walichokifanya maana hiyo ndo haki yao kwa mujibu wa sheria, kuweni wapole vyombo na mahakama vifanye kazi zao, kupiga kwenu mayowe na huku kila uchao mnahubiri utawala wa sheria hayupo ataewaamini.

Sent from my SM-A507FN using JamiiForums mobile app
 
Hahaha..mtu mmoja kuzua taharuki katika eneo lenye wakazi 25,000 na vurugu ikihusisha watu wasofika 100 kwenu ndo demokrasia, mkuu, Rais alofariki haitwi mwendazake wala marehemu, anaitwa Hayati so huko katika position ya kuargue na mimi, wakiamua kuwashughurikia na nyie mtasema mnaonewa.

Sent from my SM-A507FN using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…