Nelson nely
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 4,251
- 2,869
Itakuwa mbelgijiUkweli ndio suluhu ya yote hata kama ni wahalifu lakini wananchi wapatiwe ukweli.
Njama za kuua na kufanya ugaidi sio ndogo.
Wananchi wapewe ukweli juu ya hii saga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuwa mbelgijiUkweli ndio suluhu ya yote hata kama ni wahalifu lakini wananchi wapatiwe ukweli.
Njama za kuua na kufanya ugaidi sio ndogo.
Wananchi wapewe ukweli juu ya hii saga.
Mimi nilimchagua acha upumbavu wewe ndiye raisi aliyeongoza na kutawala hakuna kama jpm si mlimsifia mama anaupiga mwingi? Yale maneno yapo wapi? Tulimwambia adeal na hawa wapuuzi kama JPM alivyofanya akajifanya mjamaa sasa ameona kuwatreat hawa in peaceful means watampanda kichwanUchaguzi upi ulimchagua magufuli? Mwananchi yupi? Kura zipi? Tume upi? Hakuna uchaguzi Tanzania kilichofanyika ni CCM kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani tu
Mtasema yote safari hii.Samia atashindwa vibaya kuliko rais yoyote nchi hii. Asijifananishe magu. Magu ilikua Ni habari nyingine ktk dunia hii, magu alikua ni habari nyingine. Samia hawezi muda hauongopi ngoja tuone. Wanaomfundisha Leo mama watamtenga mwisho.
Mimi nilimchagua acha upumbavu wewe ndiye raisi aliyeongoza na kutawala hakuna kama jpm si mlimsifia mama anaupiga mwingi? Yale maneno yapo wapi? Tulimwambia adeal na hawa wapuuzi kama JPM alivyofanya akajifanya mjamaa sasa ameona kuwatreat hawa in peaceful means watampanda kichwanUchaguzi upi ulimchagua magufuli? Mwananchi yupi? Kura zipi? Tume upi? Hakuna uchaguzi Tanzania kilichofanyika ni CCM kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani tu
Na mtawala kumwita kote dikteta lakin wazungu walitoa pesaLini awamu ya 5 mashirika haya yalisitisha misaada yao?!!!
1)USAID
2)DANIDA
3)NORAD
4)GTZ
Na mengineyo?!!
Na kumwita kote dikteta na pesa alipewa na mabeberuLini awamu ya 5 mashirika haya yalisitisha misaada yao?!!!
1)USAID
2)DANIDA..
Unashindwa kuwahoji wakina kikwete na genge lake unaenda kwa mbowe kwa access gani mbowe aliyonayo kuishinda intelligence ya nchiAnatafutwa mtu wa kuangushiwa jumba bovu ili kujisafisha lakini wananchi wanaujua ukweli. R.I.P jpm
We jamaa bila shaka upo kwenye system maana sio kwa kutetea hukuHao jamaa Wana siasa za hovyo sana.
Kudeal nao ni kuwaonyesha UJINGA wao kwa vitendo...
NDUGU,Hilo ndio lengo Lao.
Hizi kelele za katiba mpya ni danganya toto tu lakini lengo ni kuingia madarakani
according to SamiaKwa mujibu wa samia alisema Magufuli alikufa kwa ugonjwa wa moyo na amekuwa akisisitiza!!
Sasa Leo mnakuja na story tena tuendelee tu kuwepo mwa mwisho ndiye mshindi
Acha kupotisha watu wewe nchi zilizokua hazitoi pesa ni nchi za scandnavia baada ya kupigwa na covid kama finland.norway.denmak na sio hizo unazosema na hizo ahadi zao kuchelewa hakuna donor aliyesitisha misaada kwa tanzania chini ya jpm mliyemuita diktetaWewe kweli mpuuzi hata kinachoendelea nchini hukijui. Mara ngapi yule Mpango alikuwa akilalamika kuhusu mchango wa nchi za wafadhili na mashirika ya umma kupunguza misaada na mikopo yao hivyo kuathiri bajeti? Unaishi dunia ipi wewe? Kuandika ujinga ujinga kila leo kumbe hujui hata yanayojiri nchini!!!
Hao ni wa njaa ya buku saba tuWe jamaa bila shaka upo kwenye system maana sio kwa kutetea huku
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Una uhakika Tanzania inahitaji maandamano? Unadhani siku wakiamua wewe na familia yako mtabaki salama?Nenda Dodoma kaandamane kesho, sio kujificha humu JF ukiandika porojo kila siku.