Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

Uchaguzi upi ulimchagua magufuli? Mwananchi yupi? Kura zipi? Tume upi? Hakuna uchaguzi Tanzania kilichofanyika ni CCM kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani tu
Mimi nilimchagua acha upumbavu wewe ndiye raisi aliyeongoza na kutawala hakuna kama jpm si mlimsifia mama anaupiga mwingi? Yale maneno yapo wapi? Tulimwambia adeal na hawa wapuuzi kama JPM alivyofanya akajifanya mjamaa sasa ameona kuwatreat hawa in peaceful means watampanda kichwan
 
Samia atashindwa vibaya kuliko rais yoyote nchi hii. Asijifananishe magu. Magu ilikua Ni habari nyingine ktk dunia hii, magu alikua ni habari nyingine. Samia hawezi muda hauongopi ngoja tuone. Wanaomfundisha Leo mama watamtenga mwisho.
Mtasema yote safari hii.

Mama anaupiga mwingi au haupigi mwingi??
 
Uchaguzi upi ulimchagua magufuli? Mwananchi yupi? Kura zipi? Tume upi? Hakuna uchaguzi Tanzania kilichofanyika ni CCM kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani tu
Mimi nilimchagua acha upumbavu wewe ndiye raisi aliyeongoza na kutawala hakuna kama jpm si mlimsifia mama anaupiga mwingi? Yale maneno yapo wapi? Tulimwambia adeal na hawa wapuuzi kama JPM alivyofanya akajifanya mjamaa sasa ameona kuwatreat hawa in peaceful means watampanda kichwan
 
aisee Kumbe Mbowe na kundi lake walikuwa watu hatari kiasi hiki!

yaani ni zaidi ya Majambazi, yaaani wanapanga njama za kuuuwa watu! duh! aisee hawa watu hawafai kabisaaa!! sio binaadamu.

Tena tunaomba Jeshi letu la polisi lifanye uchunguzi kwa weledi wa hali ya juuu ili mtando wote wakamatwe maaana hawa ndio wanao hatarisha usalama na amani ya Taifa letu.

Sheria ichukue mkondo wake.
 
Hilo ndio lengo Lao.

Hizi kelele za katiba mpya ni danganya toto tu lakini lengo ni kuingia madarakani
NDUGU,
Mtu au CHAMA kuwa na lengo la kuja kuingia madarakani sio kosa popote pale na hata kwa Katiba yenu CCM. Hata kwa Membe mlijikuta mnatumia nguvu kubwa sana, vitisho na hata sumu ili muweze kumuonea.

Wala kudai ujio wa katiba mpya, badala ya hii iliyo kuukuu, inayofaa kutumika kwa CHAMA KIMOJA halijawahi kuwa kosa.
 
aisee Kumbe Mbowe na kundi lake walikuwa watu hatari kiasi hiki!!!
yaani ni zaidi ya Majambazi, yaaani wanapanga njama za kuuuwa watu! duh! aisee hawa watu hawafai kabisaaa!! sio binaadamu.
tumaomba Jeshi letu la polisi lifanye msako na uchunguzi kwa weledi mkubwa ili mtandao wote wakamatwe. na hatua za kesheria zichukuliwe dhidi yao.
 
Wewe kweli mpuuzi hata kinachoendelea nchini hukijui. Mara ngapi yule Mpango alikuwa akilalamika kuhusu mchango wa nchi za wafadhili na mashirika ya umma kupunguza misaada na mikopo yao hivyo kuathiri bajeti? Unaishi dunia ipi wewe? Kuandika ujinga ujinga kila leo kumbe hujui hata yanayojiri nchini!!!
Acha kupotisha watu wewe nchi zilizokua hazitoi pesa ni nchi za scandnavia baada ya kupigwa na covid kama finland.norway.denmak na sio hizo unazosema na hizo ahadi zao kuchelewa hakuna donor aliyesitisha misaada kwa tanzania chini ya jpm mliyemuita dikteta
 
Nenda Dodoma kaandamane kesho, sio kujificha humu JF ukiandika porojo kila siku.
Una uhakika Tanzania inahitaji maandamano? Unadhani siku wakiamua wewe na familia yako mtabaki salama?

Omba sana hawa jamaa waendelee kuandamana nyuma ya keyboard...la sivyo, haya majivuno hamtakua nayo maana ipo siku wataamua na hakutakua na nguvu ya kuwazuia
 
Back
Top Bottom