Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zaidi ya hapo ni kwamba Gaidi Mbowe, ambaye tayari polisi walishampasha habari za ugaidi wake, kaachwa asafiri kwenda Mwanza na kuandaa kongamano.Rais alimpa MBOWE pole baada ya kufiwa na Kaka yake, je Kuna uhusiano gani Kati ya rais na gaidi? Je Rais alikuwa misleaded au vyombo vya kumpasha rais habari za kinintelijensia ndio vilikuwa usingizini?
We naye ovyo kweli...#FreeMbowe
You are not even wrong.We naye ovyo kweli...
Ikitokea mama katoa agizo la mbowe kuachiwa utashangaa na wewe unaanza kumsifia. Nyie watu wa ccm akili zenu ziko mnakokalia!Hiyo haiondoi kuwa mbowe ni gaidi ,pongezi Sana kwa rais wetu
USSR
HAKUNA mtu anakufa kabla ya "muda".Ukifa ukiwa hujatimiza kusudio lako la kuishi hapa duniani hiyo na adhabu.
Watumishi wote wa Mungu walitimiza makusidio yao ndio wakafa kwa amani.
Musa alifia jangwani baada ya kumkosea Mungu, Jiwe naye alikufa kabla ya muda baada ya kufanya machukizo kwa Mungu
Hahaha...ndo kwanza picha haijaanza, huyo mabaga wenu asikanyage nchini.Watapata wanachokitafuta hawa MA-CCM
Mashoga na wala ngada kama wewe hawatokaa wamsahau, kalala usingizi wa milele lakini bado tu mnaweweseka.Mwendawazimu alishindwa ku-control uwendawazimu wake. Hakutatokea tena rais mshamba kama yule.
Taarifa ya kitoto sanaTamko hili limetolewa na polisi View attachment 1863661View attachment 1863660
Tulimkubalia mama alipotuonya tusihoji kuhusu kifo cha jiwemagu. Hawa polisi hawakumsikia?
😀 Imekula kwako safari hii. Endelea kupiga vigelegele.Watapata wanachokitafuta hawa MA-CCM
Asanteni jeshi la police, mnafanya kazi nzuri sana. Huyu faru John na genge lake la mafia mwisho wao umefika.Mbowe akutwa na tuhuma za ugaidi za kuuwa viongozi wa serikali.
Wampeleke gereza la kisongo akakutane na Sabaya.
Itajulikana tu aliyemuuwa Magufuli na uki connect dot utaelewa Tundu Lisu alijuaje kama Magufuli anaumwa?
Lisu alikuwa anapewa na nani taarifa za kwamba Magufuli anaumwa na hatapona?
Bila shaka laptop za mbowe zilizokamatwa zimesema mengi kuhusu kundi la kigaidi.
Ni haya makundi ya ugaidi ndiyo yalikuwa yanawapa taarifa.View attachment 1863503
Siyo kweli, kuna division one na two walienda technical college pia. Naona ID yako ya hapa JF inaeleza mengi.Division three walipeleka vyuo Kama vya medical, misitu, technical college etc.