We endelea kudai katiba usitishike, na Mbowe aendelee kusota lupango akihojiwa upelelezi ukiendeleaWanajaribu kuwatisha baadhi ya Watu ili wajitoe kwenye madai ya Katiba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We endelea kudai katiba usitishike, na Mbowe aendelee kusota lupango akihojiwa upelelezi ukiendeleaWanajaribu kuwatisha baadhi ya Watu ili wajitoe kwenye madai ya Katiba.
Wapo kwa ajili ya kukamata MboweHivi polisi wapo ajili ya wananchi kweli au CCM na genge lake?
huyu mama akianza kufanya mambo kama ya jiwe atafia madarakani na yeyeBaada ya upekuzi wa Polisi kukamilika nyumbani Kwa M.Kiti Mbowe, tumepokea taarifa za kushtua na kushangaza kuwa Polisi wamemwambia kuwa ataunganishwa kwenye kesi ya Ugaidi na watuhumiwa walioko gereza mojawapo DSM. Tutaendelea kutoa taarifa za kina hapo baadaye.
View attachment 1862953
====
UPDATES;
=====
TAARIFA KWA UMMA
JESHI LA POLISI LAMTUHUMU MWENYEKITI WA CHAMA
MHE.FREEMAN MBOWE NA "MAKOSA YA UGAIDI"
Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Freeman Mbowe alifikishwa Dar es Salaam jana majira ya saa tatu usiku chini ya ulinzi wa Polisi , walimpeleka nyumbani kwake Mikocheni Kwa ajili ya kumfanyia upekuzi ambao ulichukua takribani saa mbili na nusu.
Baada ya upekuzi huo Polisi waliondoka na Kompyuta mpakato (Laptop) na Vishikwambi (tablets) za watoto wake, Kompyuta mpakato moja ya kwake na modem ya Internet Kwa ajili ya uchunguzi wao.
Leo majira ya saa Saba mchana Polisi walimfikisha Mhe. Freeman Mbowe Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam kwa ajili ya mahojiano na kuchukua maelezo yake.
Polisi walitaka maelezo kutoka Kwa Mhe. Freeman Mbowe kuhusiana na kosa waliloliita 'KULA NJAMA ZA KUTENDA KOSA LA UGAIDI'
Baada ya maelezo hayo ya Polisi Mhe. Freeman Mbowe alitumia haki yake ya kisheria na aliamua kutokutoa maelezo yoyote Polisi kwa mujibu wa Sheria. Baada ya maelezo hayo Polisi wamemrejesha Mhe. Freeman Mbowe katika Kituo cha Polisi cha Oysterbay ,Jijini Dar es Salaam.
Aidha , viongozi wengine waliokuwa wanashikiliwa Mkoani Mwanza wameendelea kushikiliwa na Jeshi la Polisi na baadhi yao walifanyiwa upekuzi nyumbani kwao na vyumba vya hotel ambako walikuwa wameshukia .
Waraka wa Mbowe kwa Watanzania
Mwenyekiti Taifa Mhe. Freeman Mbowe ametuma waraka kwa Watanzania kama ifuatavyo;
"Hatimaye madai ya Katiba Mpya yamenisababishia kesi ya ugaidi, nipo tayari kwa mashtaka ya kuchongwa siogopi. Ninaamini Dunia itaujua ukweli wa kile kinachoendelea Tanzania na kile tunachokipitia Watanzania. Lakini pia itajua ukweli juu ya makosa haya ya kuchongwa.
Natoa wito kwa watanzania kuendeleza mapambano, haki hutafutwa” Mhe.
Freeman Mbowe.”
Imetolewa leo Alhamisi tarehe 22 Julai, 2021.
John Mrema
Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje.
=====
UPDATE:
View attachment 1863559
View attachment 1863560
Wewe unamzigo mkubwa na mzoefuNafikiri jambo hilo wamfanyie Mbowe , maana lazima tujue ugaidi wake
Mjinga wewe!Jitikise kidogo, umekalia msumari ...
Kweli aseeWapo kwa ajili ya kukamata Mbowe
Nasikitika nilimpa Imani kubwa Sana Mama.Yanayojiri ni kinyume chake.
4) Kutunga katiba zinazowalinda na kuwapa madaraka makubwa watawala kuliko wananchi
100%Yaliyojiri kwa Mrema,Seif na Mahita makondena ya visu,Mabomu ya Arusha,Slaa kutegeshewa vitu hotelini,Lissu kupigwa lisasi na sasa Mbowe nani atafuata?
Je,nisuluhisho?
Natamani kila mtanzania asome hii comment yako.Bila kumwaga damu, hakuna mabadiliko kamwe. We are stuck with CCM na polisi wao.
Natamani kila mtanzania asome hii comment yako.
Uchaguzi upi ulimchagua magufuli? Mwananchi yupi? Kura zipi? Tume upi? Hakuna uchaguzi Tanzania kilichofanyika ni CCM kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani t
Hivi mtaendelea kuwafanya vijana WAJINGA mpaka lini?!!!Nimepima maelezo ya msemaji wa polisi na Mbowe mwenyewe, nimetafakari Sana.
Ila kwangu nimeamua kumwamini Mbowe na kumpuuza huyu polisi. Kuna sababu nyingi Sana za kumuamini Mbowe, hata mtoto angeamini tu.
Pole sanaMbowe, umefanyiwa ugaidi ma magaidi, tunajua. ila Sasa unaitwa gaidi wewe.
Lala kwa taabu huko uliko ila tunakuombea Sana huwezi dhurika na hao mawakala wa magaidi wanaokulinda kwa bunduki zetu.
Anaupiga mwingi😂😂😂.Natabiri kwa jicho la kinabii, kifo cha bibi very soon
Achana nae huyo,ni mshabiki ila sio mchambuzi wa siasa za tz tangu mfumo wa vyama vingi hasa kinapotokea chama chenye hoja na nguvu na hakinunuliki.Acha kufata upepo