Mwanambee
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 244
- 332
Gaidi mwanasiasa anaejua kuchezea matukio kwa nyakati ambae hapotezi fursa yaani anaendesha shughuli za msiba wa Kaka yake kwa tahadhari za korona kisha anapaa kwenda mwanza kuzivunja
Si ndio huyu alisema amejeruhiwa na watu wasiojulikana kumbe aliteleza akitoka kupiga Faru Joni
ndio hujiuliza kweli TISS walimpiga Yule jamaa risasi zote zile wakashindwa kumuua kweli au ndio Bavicha waliamua kumtoa sadaka ili waneemeke kisiasa
Jeshi la Polisi sio Bavicha hawakuwahi kumtuhumu kwa Ugaidi kwa miaka yote hiyo wamefanya hivyo wakati huu si kwa sababu Samia ni mbaya kuliko Magufuli bali ni kwakuwa kuna sababu ya kufanya hivyo na wanajua watawajibika kwa matokeo yote ya shutuma zao