Jesuitdon
JF-Expert Member
- Dec 18, 2018
- 3,153
- 2,673
Kama ypWewe Barafu unaamini Tz kuna intelligence? Hii inayoruhusu ma ded wezi kurudishwa kwenye u ded? Ovyo kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ypWewe Barafu unaamini Tz kuna intelligence? Hii inayoruhusu ma ded wezi kurudishwa kwenye u ded? Ovyo kabisa
Tunajua ni ugaidi bambikiziTupe taarifa wewe unajua nini kuhusu ugaidi wa Mwenyekiti wako mkuu?
Tukisema Samia anafanya mabaya ambayo hata Magufuli, pamoja na udikteta wake na ukatili wake wote hakuwahi kufanya, wala haina maana ya kusema heri Magufuli. Magufuli ana mabaya mengi mno, wala hakuna uheri wowote.Leo wanasema heri Magufuli
Wanacdm hawana jema
Thubutuuu!Mdude njoo na wembe huku unyoe mtu
Hii issue stearing ni mkwe wa macho kumchuzi,yani siro n tiss wanafanya kazi kwa maelekezo ya mvuvi mcherengwa...mama yupo hapo hajui nini maana ya kua raisHii movie kuhusu viongozi wa CHADEMA imeandaliwa kwa kiwango cha chini mno na inaabua maswali mengi kuliko majibu kuzidi hata ile ya kutekwa kwa MO.
Na kwakuwa jambo hili linaonekana kugusa hisia za watu wengi na kuvuka mipaka ya nchi huku shinikizo likiongezeka, sitashangaa wakati wiwote wakatafutwa watu wa kubebeshwa lawama na hao wanaweza kuwa ni Sirro na pengine hata Boss wa TISS
Inawezekana Mama asiwe na wazo la kubebesha mtu lawama kwa makosa yake, ila wanasiasa wenzake na ambao ni wakongwe ndani ya chama, wanaweza kumshauri afanye uamuzi wa kuwato watu mbuzi wa kafara ili kulinda image yake.
Tuhuma hizi ni nzito, ngumu kuzithibitisha na inaonekana walizi-underestimate huku dunia ikifuatilia, hivyo ni lazima wajisafishe na katika kujisafusha huko, Sirro ndio anaeweza kuwa wa kwanza kubebeshwa zigo la lawama kwa kuondolewa katika nafasi yake huku Boss wa TISS nae akikalia kuti kavu.
Tusubiri.
Polisi watapeleka ushahidi mahakama itaamuaHii movie kuhusu viongozi wa CHADEMA imeandaliwa kwa kiwango cha chini mno na inaabua maswali mengi kuliko majibu kuzidi hata ile ya kutekwa kwa MO.
Na kwakuwa jambo hili linaonekana kugusa hisia za watu wengi na kuvuka mipaka ya nchi huku shinikizo likiongezeka, sitashangaa wakati wiwote wakatafutwa watu wa kubebeshwa lawama na hao wanaweza kuwa ni Sirro na pengine hata Boss wa TISS
Inawezekana Mama asiwe na wazo la kubebesha mtu lawama kwa makosa yake, ila wanasiasa wenzake na ambao ni wakongwe ndani ya chama, wanaweza kumshauri afanye uamuzi wa kuwato watu mbuzi wa kafara ili kulinda image yake.
Tuhuma hizi ni nzito, ngumu kuzithibitisha na inaonekana walizi-underestimate huku dunia ikifuatilia, hivyo ni lazima wajisafishe na katika kujisafusha huko, Sirro ndio anaeweza kuwa wa kwanza kubebeshwa zigo la lawama kwa kuondolewa katika nafasi yake huku Boss wa TISS nae akikalia kuti kavu.
Tusubiri.
Nyie dawa yenu ni kutulizwa hivi hivi afu mtaishia kulia Lia kwenye keyboard.Apewe muda ili ajipange kuua watu?
Rais makini haitaji kupewa muda
Ana uwezo kutoa order kila kitu kinafanyika hàta ndani ya mwezi mmoja
Muda wa nini ngoja sasa uone watakavyompiga chini.
Nakwambia akifika 2025 ni bahati sana.
Ndiyo yanakusumbueni hadi mtie adabuGaidi Magufuli ameshakufa, yamebaki masalia yake
Linafungika kwani gaidi kapatikana. Asubili mvua ya miaka 30akitoka viboko vunamhusu piaHawa jamaa kwa ujinga wao, wamefanya wananchi waanze kuamini upya kuwa Chuma aliuawa, Sasa watu mitaani wanataka majibu ni nani alihusika na kula njama hizo, Je wastaafu wanaotajwa walishirikiana na Mbowe kutekeleza hizo njama?
Wamefungua Pandora box wasiloweza kulifunga
Umeambiwa pasipo kificho kuwa aliwekewa mtego na kutokana na uzezeta wake amenasaYaaani kama Sirro na huyu diwani na mwanasheria mkuu wa serikali ndio vichwa vinavyotegemewa na rais katika usalama wake basi taifa la Tanzania liko hatarini kama mbuzi wa kufugwa aliyetupwa mbuga ya wanyama pori wala nyama.
Kipindi cha mwendazake walijaribu kumbambikia Mbowe kesi ya madawa kupitia makonda lakini walivyochekecha labda mwendazake alishtuka kuwa watamshabishia yeye amiri jeshi madhara kuliko faida.
Sasa amiri jeshi aliyepo hajashtuka kwa hili famba la polisi.
Madhara yake kwa taifa ni makubwa kuliko hata janga la korona.
Kumbe?!Tunajua ni ugaidi bambikizi
Yapi maoni yako?Kumbe?!
Ndo ukweli mkuuUnapaswa kutunukiwa degree ya ufalsafa. Umenena Mkuu.
Faru John ni Gaidi hatari sana!Yapi maoni yako?