Freeman Mbowe: CCM ijenge mifumo ya kudhibiti viongozi wake ndani ya Chama ili wasiumize Watanzania

Freeman Mbowe: CCM ijenge mifumo ya kudhibiti viongozi wake ndani ya Chama ili wasiumize Watanzania

TBC Live....
Mwenyekiti wa Bawacha Taifa "Ninatambua kuwa sio vyema kuzungumza juu ya Kesi iliyoko mahakamani, ila naomba uitazame kwa jicho la tatu kesi ya wabunge 19 iliyopo mahakamani"
 
Mwenyeki bawacha amemaliza hotuba yake na sasa anamkaribisha katibu mkuu JJ Mnyika
 
Ama kweli Mbwa kajipeleka kwa CHATU kuliwa
 
Mnyika anasema "Mwenyeki wa chama Freeman Mbowe ndiye atakayetoa Neno/Salamu kwa niaba ya chama, kwani waliomwalika Mama Samia kuwa Mgeni rasmi ni nyinyi wanawake na chama kikawapa Baraka. Leo ukurasa mpya umefunguliwa hivyo basi atakachoongea Mwenyekiti Mbowe na Mh. Rais Samia ndicho tutakacho fuata".
 
Katibu mkuu Mnyika amemaliza na kumkaribisha Mwenyekiti Mbowe
 
Back
Top Bottom