Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msimamo ni wote tuhamie kwa mamaMnyika anasema "Mwenyeki wa chama Freeman Mbowe ndiye atakayetoa Neno/Salamu kwa niaba ya chama, kwani waliomwalika Mama Samia kuwa Mgeni rasmi ni nyinyi wanawake na chama kikawapa Baraka. Leo ukurasa mpya umefunguliwa hivyo basi atakachoongea Mwenyekiti Mbowe na Mh. Rais Samia ndicho tutakacho fuata".
Aisee alikua na maneno ya shombo sanaAmepona kifuaduro huyo 😃
Utaisha vyema kabisaaa....Mbowe is flopping.
Anamualika rais na Mwenyekiti wa CCM na kuanza kukisakama Chama Chake, huku ni kumtengenezea mgogoro rais na Chama Chake.
Nauona huu mkutano hautaisha vyema.
Litakua ni jambo jema sana. Ila akijibu kwa mipasho ya kipwani basi Mbowe atatawanyishwa kabisa, kama Tulia alivyomsambaratisha SuguUtaisha vyema kabisaaa....