genius_
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 474
- 1,237
Ameongea yote kwa busara na ujumbe umefikaMbowe ana busara sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameongea yote kwa busara na ujumbe umefikaMbowe ana busara sana
Imeisha hiyo !Mama anasema never, never again. Kama mawaona Sukuma gang wanasonya tu.
Huyu Mama mstaarabu sana, kweli kabisa maana Utawala kama ule haufai kutokea tenaMama anasema never, never again. Kama mawaona Sukuma gang wanasonya tu.
Mimi napenda pesa Ila sio kuuza wengineWewe hupendi pesa? Mbona unatumika kiboya kwa buku saba tu?
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Umeachwa NikkiManyoko zako
Machoko hamjifichiUmeachwa Nikki
[emoji38][emoji38][emoji38]Manyoko zako
Mama anasema anasoma maoni yetu JF.Huyu Mama mstaarabu sana, kweli kabisa maana Utawala kama ule haufai kutokea tena
Wewe ya kwako hasomi maana akili hunaMama anasema anasoma maoni yetu JF.
Sawa NikkiMachoko hamjifichi
Ndio kumbe ni member humu leo ndo nimejuaMama anasema anasoma maoni yetu JF.
Albert Einstein"Siasa ni ngumu kuliko fizikia"
Mbowe anajua ku flip na ku flop...
Naona sasa amerudi kwenye the right track
Mbona ana ID kabisa?Kuhusu covid 19,kwa nini Chadema wasipeleke majina mengine.Nimemsikia mama kumbe huwa anapita hapa Jamii forum.