Freeman Mbowe: CCM ijenge mifumo ya kudhibiti viongozi wake ndani ya Chama ili wasiumize Watanzania

hatari sana
 

Attachments

  • 3F92CB0D-44A4-4AF8-B8FC-510AF0FA1AF2.jpeg
    86.5 KB · Views: 3
  • 2CA28ACF-34C0-4AA1-A91A-FD56746AD632.jpeg
    94.1 KB · Views: 3
That's what we want

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Acha uzuzu na upoyoyo

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Uskute faiza foxy ndo bimkubwa [emoji23][emoji23][emoji23] *****
 
Mh🙄🙄huyu Mbowe nae! Sa kiongoz gan alitesa wananchi? Huyu anataka kuleta taharuki tu!! Walinda legacy huyu Mbowe mbona anatusakama san?
 
Kwa kuwa siasa ni mchezo wa kuzidiana akili,mimi na sema pia na kuzidiana nafasi za maamuzi na mamlaka kama ilivyotokea kwa COVID-19🤔
 
Mwamba ni Mwanasiasa Aliyekomaa na makini sana
Mkuu kweli mambo yanabadilika kwa kasi sana. Sikutarajia Hotuba aina ya ile aliyoitoa yule mama wa Zanzibar, Mwenyekiti wa BAWACHA na ile ya Mbowe kuruhusiwa na watu wa Rais kutolewa mbele yake. Ingekuwa zama za nyuma Hotuba zao zingefanyiwa editing, ila zimeachwa kama zilivyo. Zilikuwa Hotuba kali sana mbele ya Rais kwa maoni yangu, kweli huyu Rais ni mvumilivu sana. Mambo yamebadilika Mkuu. Hongereni sana CHADEMA, kwakweli mmeonesha ukomavu wa hali ya juu sana leo. Mme-maintain status yenu kama wapinzani wa kweli na vilevile mkaonesha busara kubwa kwa Rais japo hizo Hutoba mbili zilikuwa kali sana. Ha ha haa. Kweli zama zimebadilika.
 
Ameongea yaliyo moyoni mwake kwa heshima na taadhima kubwa na hisia kali zenye heshima kubwa kwa rais!

Tumuige , ni mfano mzuri namna ya kuongea matakwa yako kwa wenye mamlaka
Mbowe kaonesha busara ya juu ila pia yeye na yule mama Mwenyekiti wa BAWACHA wametoa Hotuba nzito sana, ambazo sikutarajia kuwa kweli zingetolewa mbele ya Rais na kuachwa kama zilivyo. Kweli zama zimebadilika. Binafsi niwapongeze sana CHADEMA. Rais huyu kweli ni mvumilivu na anaonesha ana nia ya dhati kupokea mawazo ya upande mwingine. Hotuba za leo zilibeba kila jambo linalohusu maisha ya watu na hali ya kisiasa nchini. Maisha magumu, hali ya kiuchumi, hali ya mama wa Kitanzania hasa masikini na suala la KATIBA mpya. Safi sana.

Kingine nilichojifunza zaidi inaonesha mamlaka huwa zinawahofia sana CHADEMA kuwa ni watu wa FUJO, kuwa wanaweza kukinukisha na nchi ikawa kwenye Taharuki. Ukimsoma Rais between the lines kwenye Hotuba yake utagundua hilo. Baada ya kujihakikishia kuwa CHADEMA akienda nao sawa hawawezi kuleta TAHARUKI inaonesha na yeye binafsi anafurahia sana jambo hilo.
 
You are very correct! Prior, I thought that those speeches will be censored by security intelligence before being read publicly! It seems that was not the case! All speeches were hitting the nail in the head with very carefully chosen words!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…