Pre GE2025 Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwenye sanduku la kura

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Siwezi kuyasema mengi kwa heshima ya hiki chama kwani nimesitisha tu kwa muda uanachama wangu. Ila kuna upuuzi mwingi sana.
 
Hoja hii inahitaji akili kubwa kuielewa
 
Hakuna kilichoharibika, Kapigeni kura.
Hamtaki kupiga kura mnataka nini sasa?

Tatizo mnajiunga vyama kwa kufuata mtu
 
CHADEMA haitakufa

Tutawapa Wanachama na Viongozi wengine wapya wasio vibaraka wa mabeberu.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi

Kidumu Chama Tawala
kibaraka wenu ni mbowe atawarahisishia ushindi wa mafuriko na kimbunga ila mpeni wabunge na madiwani wawili watatu mpotezee mambo kuwa mmeshinda kihalali
 
Ndio watu wa lissu hao. Useless
Usinilishe maneno mkuu, mimi Lissu wakwangu Mbowe pia wa kwangu, ila msimamo wangu kwa sasa ,wajumbe Mleteni lissu, Mbowe kama chama hatakiwi kuachwa bado anahitajika ila kwa sasa wajumbe Mleten lissu period Mungu bariki mikono ya wajumbe, na ni matumaini yangu Mbowe pia atampigia lissu kura
 
Yani Lisu aipasuwe Chadema kwa sababu ya kuropoka? Atakapokimbilia Belgium ndio wote mtakuja kujijuwa hamna akili.
 
Kwa heri Chadema.Kweli Chama hicho ni Saccos ya watu.
 
Ninatafuta thread kuhusu Chacha Wangwe alivyowajibu Chadema kuwa atamwaga mboga. Kule Dodoma.Ile thread ina unabii mwingi kuhusu yanayotokea leo.Ninakumbuka kipindi kile Lissu alikuwa pro Mbowe na alimponda sana Chacha wangwe.
Siasa zikiwashinda mje tulime wakuu

😝😝
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…