Ruwamangi
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 1,292
- 2,382
Ndio watu wa lissu hao. UselessNimeamini watu wepesi sana , ndo maana huwa wanajinyonga, sasa kura kupigwa bado eti unakimbia chama , huo ni upumbavu , we unafikili wajumbe hawajui cha kufanya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio watu wa lissu hao. UselessNimeamini watu wepesi sana , ndo maana huwa wanajinyonga, sasa kura kupigwa bado eti unakimbia chama , huo ni upumbavu , we unafikili wajumbe hawajui cha kufanya?
Siwezi kuyasema mengi kwa heshima ya hiki chama kwani nimesitisha tu kwa muda uanachama wangu. Ila kuna upuuzi mwingi sana.Hii si ndio Golden chance ya kumuondowa Mbowe kupitia danduku la kura? Au mimi ndio sielewi?
Kama Mbowe yuko powerful hivi maana yake huyo ndio mtu sahihi, wakutane kwenye box namba zitaongea, hiyo ndio Demokrasia sasa, ccm mwenyekiti inatoka fomu moja tu na mapovu hayawatoki, sasa Chadema mmepewa fursa mumchaguwe mnayetaka mnaweweseka, binafsi siwaelewi.
Hoja hii inahitaji akili kubwa kuielewaWanaoimiliki CDM wanamuamini Mbowe zaidi na si vinginevyo.
Elites walio behind the scene ambao ndio wamiliki wa CDM Kwa bahati mbaya malengo yao sio kama mnavyoiona CDM msioijua.
Nilishatoa angalizo, Lissu kama Yuko serious kweli akaanzishe chama ahame na wafuasi wake wakafanye siasa huko.
CDM Ina malengo mengine kabisa nje ya hizi siasa za kuchukua dola.
Hata Leo hii Lissu akiwa mwenyekiti, bado malengo ya CDM yapo palepale, either atakuwa compromised au atafiksiwa kivingine.
Bahati mbaya sana Tanzania ni nchi ya sintofahamu na behind the scenes nyingi sana, wananchi Kwa zaidi ya 70% wapo manipulated.
Siku wengi wenu mkipata akili ndio mtanielewa.
Ndo mtazamo wako huo,lkn haiwezi pasuka kwa kuwa mbowe anagombea,ni haki yake kugombea ati,wakati wa lowasa wasoitakia mema,walisema ivo ivo,lkn imeendelea kudunda hadi leo,nyie endeleeni kuipaisha tu.Leo ndio tutajua Mbowe ni mpinzani wa kweli au mamluki,
CHADEMA lazima ipasuke lazima,
Sasa kama ulikuwa CDM ndio kusema unaogopa uchaguzi au? Hiki ni chama Cha kidemokrasia. Siyo cha kutoa fomu moja. Fomu zimetolewa nyingi na wewe chukua ugombee. Huku CDM nakuna umwinyi wa kutoa fomu mojaNilikuwa mwana Chadema kindakindaki na huna la kunifundisha kuhusu hiki chama.
Nyie hamjitambui, Mambo yakiwashinda mje tulime huku simiyu 😝😝wale waliokuwa wakisema chadema ni mali ya familia naona wanaanza kueleweka taratibu.
Mbona Lisu amegombea Urais na uchaguzi unaondaliwa na ccm? Hivi humo vichwani mwenu kuna akili kweli au ni chuki tu kwa Mbowe?Incumbency inaharibu uchaguzi, maana hata kamati za uchaguzi anaandaa yeye sasa kuna namna gani hapo Lissu kushinda?
Hakuna kilichoharibika, Kapigeni kura.Siwezi kunywa sumu kwa vile nina maisha bora sana nje siasa. Sijawahi kunufaika hata kwa senti moja na siasa bali nimetoa pesa zangu kuchangia Chadema. Hivyo sana sana nimekuwa relieved. Ninachosikitika tu ni kuwa katika kilichokuwa kinaendelea kwa wiki kadhaa ndani ya Chadema CCM ndiyo imeibuka kidedea. Imekwisha .
kibaraka wenu ni mbowe atawarahisishia ushindi wa mafuriko na kimbunga ila mpeni wabunge na madiwani wawili watatu mpotezee mambo kuwa mmeshinda kihalaliCHADEMA haitakufa
Tutawapa Wanachama na Viongozi wengine wapya wasio vibaraka wa mabeberu.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Kidumu Chama Tawala
Sio kwenye siasa tu: Konyagi, Wema Sepetu, just to mention few!Mbowe ana tamaa sana yule jamaa..
Usinilishe maneno mkuu, mimi Lissu wakwangu Mbowe pia wa kwangu, ila msimamo wangu kwa sasa ,wajumbe Mleteni lissu, Mbowe kama chama hatakiwi kuachwa bado anahitajika ila kwa sasa wajumbe Mleten lissu period Mungu bariki mikono ya wajumbe, na ni matumaini yangu Mbowe pia atampigia lissu kuraNdio watu wa lissu hao. Useless
Yani Lisu aipasuwe Chadema kwa sababu ya kuropoka? Atakapokimbilia Belgium ndio wote mtakuja kujijuwa hamna akili.Sasa wakulungwa kuna haja gani ya Lissu kusubiri uchaguzi ufanyike wakati uhakika wa kushinda ni mdogo, au asubiri matokeo ndio chama kipasukepasuke mbowe aanze upya kukisuka? ila itachukua miaka mingi chama hicho kuja kuwa na nguvu tena kama kitakuwepo mpaka wakati huo
Demokrasia ni kupiga kura na kupigiwa kuraCHADEMA wanaenda kupoteza maana ya Demokrasia.
Safari hii tutajua kama kweli ni chama cha Democrasi au walikuwa wanatudanganya.
Mambo ya siasa yakiwashinda kabisa mje simiyu huku tulime,mapori kibao 😝😝Mazee naona unatania hapa ni kama vile unasema Chadema kapigeni kura kuiondoa CCM madarakani kupitia sanduku la kura huku ukijua CCM Wanatacheza Kila faulo Ili washinde.
Wakati wowote kuanzia sasa Mhe Freeman Mbowe kutoa tamko rasmi la ama atagombea Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa ama laa.
Mtakumbuka Mhe Freeman Mbowe ameitumikia nafasi hii kwa zaidi ya miongo miwili sawa na miaka 21 mfululizo.
Endapo atatangaza kugombea tena atakuwa ni mgombea wa nne nyuma ya Tundu Lissu na Odero Odero,
Je, kama Taifa tunatarajia nini kutoka Upinzani kuelekea 2025?
Usiondoke hapa Jf kwa habari zaidi
=======================================
Siku ya leo Disemba 12, 2024 Freeman Mbowe ametangaza rasmi kugombea kwa mara nyingine nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa.
Mbowe amsema kuwa kutokana na Uchaguzi mkuu ambao unakuja si vyema kubadilisha "makamanda" na kwamba bado yupo sana kuongoza chama hicho na mara baada ya mkutano anaenda kuchaukua fomu kwenye makao makuu ya chama hicho, Mikocheni.
"Kwa kuzingatia yote haya na mengine mengi ambayo sitaki kuwachosha. Nilisema mara nyingi kuwa nilitamani kuondoka lakini siwezi kuondoka katikati ya minyukano iliyopo. Kwa hiyo CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea"
View attachment 3181677
View: https://www.youtube.com/live/8WGa7Xv3hKo?si=JjooipgRmN035_2F
Kama vp akishindwa kusema anaachia lissu aunde chama kipyaa. tuna hitaji mabadiliko ya kweli
Nimeanza kaumini hivyo.Kwa heri Chadema.Kweli Chama hicho ni Saccos ya watu.
Siasa zikiwashinda mje tulime wakuuNinatafuta thread kuhusu Chacha Wangwe alivyowajibu Chadema kuwa atamwaga mboga. Kule Dodoma.Ile thread ina unabii mwingi kuhusu yanayotokea leo.Ninakumbuka kipindi kile Lissu alikuwa pro Mbowe na alimponda sana Chacha wangwe.