Pre GE2025 Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwenye sanduku la kura

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wanaelewa vizuri, namba hazidanganyi, Mbowe ameshawapiga KO kabla ya uchaguzi, Mbowe amuandae John Heche kuwa mrithi wake.
Hiko chama Cha watu wa kaskazini .,bas tu mbowe nae anaona lema ni kopo hamna kitu kichwani ila angemwachia chama.
 
We mzee kumbe ni mtupu hivi kichwani,hili saga limewa expose wengi sana uwezo wenu wa kufikiri.
 
Iko hivi bosi sisi mwenyekiti anaenda na mhula, ukiisha haruhusiwi kugombea tena. Ingependeza tuongeona wapinzani wanakuwa na vipindi vya muhula kwa uenyekiti
Jibu swali, mwenyekiti wa ccm huwa anagombea na nani?
 
Poyoyo katika ubora wako, km Chadema im sure we unajiunga mi nilikua huko. Kitambo tu hata hakikua chama halisi.
Kuhamia wapi kwa mfano?
Hakuna chama cha upinzani Tanzania.

Kuna vikundi vya watu wanagombea kula yao basi
Sasa kwa nini mapovu yanakutoka wakati unajuwa hivyo ni vikundi vya watu?
 
Natamani wapiga Kura wa Chadema waoneshe hasira zao Kwa mwenyekiti ili liwe fundisho Kwa wale wote wenye tamaa ya madaraka. Kama chama wapiga Kura mkataeni mwenyekiti ameshindwa kulinda heshima yake. Pigeni Kura ya hapana Kwa Mbowe.
 
Ukizingatia wewe sio mpiga kura,kuwa mpole!
 
Natamani wapiga Kura wa Chadema waoneshe hasira zao Kwa mwenyekiti ili liwe fundisho Kwa wale wote wenye tamaa ya madaraka. Kama chama wapiga Kura mkataeni mwenyekiti ameshindwa kulinda heshima yake. Pigeni Kura ya hapana Kwa Mbowe.
Wewe Unadhani huo uchaguzi ni yale maigizo ya ccm ya ndio au hapana? Hapo hakuna kura ya Hapana ni mtanange wa either umpigie Lisu au Mbowe, mambo ya hapana ni huko ccm anakogombea mgombea mmoja na anashinda kwa asilimia mia moja, usanii mtupu.
 
CCM inaanza kuabika sasa!
Madokta na maprofesa, wanaletewa jina moja
 
Mkuu, kwani hotuba hujaisikiliza? Maridhiano, kujenga na kuimarisha chama, ofisi imetajwa hapo, nk. Nashauri urudie kumsikiliza tena.
Mbowe amesisitiza sana kuhusu maridhiano kuwa ndio sera yake kuu akiwataja, Mandela, Gandhi, Kennedy nk.

Maridhiano yalikuwa ya ukweli mfano Afrika kusini katiba mpya, kuondoa ubaguzi, uchaguzi huru. Gandhi India kupewa uhuru nk.

Haya maridhiano ya Mbowe hayabadilishi mfumo uliopo sasa zaidi kuiongezea nguvu CCM.
 
Milango iko wazi, Tanzania kuna vyama zaidi ya 20, tafuteni chama cha kwenda mkakijenge au anzisheni chama chenu.
 
Zidumu fikra za mwenyekiti Freeman Mbowe!!!
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…