Pre GE2025 Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwenye sanduku la kura

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Baada ya kujua majina ya washiriki (Actors na Actresses) sikutaka kujua hata Title ya Series yenyewe, nilijua lazima itakuwa ni kali tu, na kweli 😀😀😀
 
Hapa either uwe simba au wazee wa jangwani, hakuna neutral hapa, na mtaendelea kutuona tukitoka mapangoni na ku_side straight forward pasina kujificha ficha tena 😂
 
Hii movie Kuna wanasema 99.1% ndiyo directors, lakini naona, Kuna sponsor wa 99.1% ndiye kastuka actor mmoja wapo alikuwa anapendelewa na wanaodhaniwa directors kuwalaghi sponsors. Sasa sponsor ndiye anataka awe director na sponsor kisha kubadili co-actor awe ndiye "sterling"!!!
 
Hatari sana, ila mods wana mambo ya ajabu sana wameua uzi wangu aisee cheki comment yako ilivyo tamu kwa sasa aiendani kbs na Title ya huu uzi. Mods rudisheni uzi wangu please.
 
Better Mbowe apumzike.
Awe mshauri.
 
Anaongea hivo akijua fika wajumbe wa Mkutano Mkuu karbia wote kawaweka yeye.
 
Hivi ni kweli yule uliye kuwa unasema na kuimba demokrasia, demokrasia....!!! Leo hii wa kung'ang'ania madaraka hadi yanakutia upofu!! Ninani anayekushauri vibaya namna hiyo....
Ninakili tunamshukuru sana TAL kutuonyesha upande wenu wa 2,kumbe CDM chini ya utawala wako hakuna upinzani zaidi ya kuwa msaada kwa CCM!!!
 
Shallow reasoning indeed
 
Hakuna aliyezuiwa kugombea, hata wewe unaruhusiwa .
Umesikiliza Kauli yake kwanza...? Ama unaleta mahaba ya uchawa? Kiukweli kwa kusikiliza Kauli yake, kwanzia Sasa siyo tena mwenyekiti wangu tena. Sijui kwa wengine.
Najaribu kujiuliza ujasili wa kukemea ukomo wa madaraka utatoka wapi kupitia yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…