Jeep wrangler
JF-Expert Member
- Jan 7, 2024
- 524
- 1,093
Yaani nchi hii Ina machawa wengi sanaWakati wowote kuanzia sasa Mhe Freeman Mbowe kutoa tamko rasmi la ama atagombea Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa ama laa.
Mtakumbuka Mhe Freeman Mbowe ameitumikia nafasi hii kwa zaidi ya miongo miwili sawa na miaka 21 mfululizo.
Endapo atatangaza kugombea tena atakuwa ni mgombea wa nne nyuma ya Tundu Lissu na Odero Odero,
Je, kama Taifa tunatarajia nini kutoka Upinzani kuelekea 2025?
Usiondoke hapa Jf kwa habari zaidi,
View: https://www.youtube.com/live/8WGa7Xv3hKo?si=JjooipgRmN035_2F
Ni mamluki, ukitaka ujue hili. He is so important kiasi kwamba state haitaki atoke hapo, state ina faida nae, yeye ndio anamake chadema soft, lissu ni aggresive in nature. And state dont like thatLeo ndio tutajua Mbowe ni mpinzani wa kweli au mamluki,
CHADEMA lazima ipasuke lazima,
Naona Yuko chumbani anasikia utungu kama wa kuzaa kumbe ni kutoa tamko tuMbowe alifikiri saa 48 ni nyingi?
Mwali Bado Yuko chumbaniHaya mliopo online anasemaje huko
Sawa sawa leo ni leoMwali Bado Yuko chumbani
Mashauriano mkuu. Wazee wa siasa nyingi aka mzee wa maridhianoShida yake uwa aongei on time, anadhani watu wote duniani tuna muda wakumsubiri yeye hatuna shughuli nyingine.
Yaani ahadi saa tano, inakwenda saa sita na nusu, utadhani anatulipia bando; hovyo kweli.
Mgombea wa nne nyuma ya lisu na odero ..huyo watatu ni nani!?Wakati wowote kuanzia sasa Mhe Freeman Mbowe kutoa tamko rasmi la ama atagombea Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa ama laa.
Mtakumbuka Mhe Freeman Mbowe ameitumikia nafasi hii kwa zaidi ya miongo miwili sawa na miaka 21 mfululizo.
Endapo atatangaza kugombea tena atakuwa ni mgombea wa nne nyuma ya Tundu Lissu na Odero Odero,
Je, kama Taifa tunatarajia nini kutoka Upinzani kuelekea 2025?
Usiondoke hapa Jf kwa habari zaidi,
View: https://www.youtube.com/live/8WGa7Xv3hKo?si=JjooipgRmN035_2F
Una akili sana ni mamluki ni uhakika kabisaLeo ndio tutajua Mbowe ni mpinzani wa kweli au mamluki,
CHADEMA lazima ipasuke lazima,
ikipasuka tunaigundisha hata kwa unga wa muhogo..🤣Leo ndio tutajua Mbowe ni mpinzani wa kweli au mamluki,
CHADEMA lazima ipasuke lazima,
Naunga mkono hoja!Shida yake uwa aongei on time, anadhani watu wote duniani tuna muda wakumsubiri yeye hatuna shughuli nyingine.
Yaani ahadi saa tano, inakwenda saa sita na nusu, utadhani anatulipia bando; hovyo kweli.
Kaingia mitini baada ya washauri wengi kumtaka asigombee. Sasa anawaza kuyakosa mapovhopocho ya umwenyekiti anaona bora asitokeze kwenye press.Mbowe alifikiri saa 48 ni nyingi?
Jinyonge mkuu, maana si kwa chuki hizoAtagombea Hili lichaga n lilafi na libinafsi mno.
Umekula Sana miaka 20 inatosha waachie na wengine.
Ukumbuke na kuleta mrejesho tuWakati wowote kuanzia sasa Mhe Freeman Mbowe kutoa tamko rasmi la ama atagombea Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa ama laa.
Mtakumbuka Mhe Freeman Mbowe ameitumikia nafasi hii kwa zaidi ya miongo miwili sawa na miaka 21 mfululizo.
Endapo atatangaza kugombea tena atakuwa ni mgombea wa nne nyuma ya Tundu Lissu na Odero Odero,
Je, kama Taifa tunatarajia nini kutoka Upinzani kuelekea 2025?
Usiondoke hapa Jf kwa habari zaidi,
View: https://www.youtube.com/live/8WGa7Xv3hKo?si=JjooipgRmN035_2F
Pole Mkuu. Usipaniki sana. Hajakuita😃😃😃Shida yake uwa aongei on time, anadhani watu wote duniani tuna muda wakumsubiri yeye hatuna shughuli nyingine.
Yaani ahadi saa tano, inakwenda saa sita na nusu, utadhani anatulipia bando; hovyo kweli.