Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
Sijawahi kumuona Mbowe akiwa under pressure, kumbe akiwa depressed
Tetesi toka Twitter zinasema mwamba kalambishwa asali ya 12B + na bado anataka asali zaidi. Dr slaa kazungumzia hilo clubhouse ya Twitter anasema kapewa Taarifa na vijana wa system. Vijana wa system wameona wampe taarifa slaaboya kiasi hichi, imagine huyu angaukwaa uraisi wa Tanzania angepiga marufuku hata neno UCHAGUZI na KATIBA. hata Mobutu Sese seko angaionea huru.
Hilo kanisa linapenda sana siasa,bila kutia pua kwenye siasa halisimamiBila kusahau hilo Kanisa lenu 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DEhtw-SNjKQ/?igsh=MTZubHhyZnJhdDEzag==
Waliokaribu na mbowe wamsaidie jmn anazidi kutoka nje ya mstari, anatia huruma sasa anaanza kuogopa diaspora, kesho ataogopa wanasheria kesho kutwa viongozi wa dini na asiposaidiwa ataiogopa kamati kuu, mda utaongeaMwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA @chadematzofficial Freeman Mbowe amesema kuna makundi yanayoratibu kufanyika mapinduzi ndani ya chama hicho na makundi hayo ndiyo yanayomsukuma Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Bara, Tundu Lissu kugombea nafasi ya Uenyekiti.
“Kuna kundi linaloitwa diaspora (watanzania waishio ughaibuni) ni kundi dogo tu wala sio kusema ni diaspora wote wa Tanzania hili kundi dogo linalojaribu kupanga mapinduzi ndani ya CHADEMA wengine hata hatuwajui tunawaona tu kwenye majina ya mitandaoni wanajiita Tanzania Diaspora ni kundi ndani ya Diaspora”
Mbowe ameeleza kuwa zaidi ya kundi hilo kuna kikundi kingine kinachoitwa Sauti ya Watanzania ambacho kinachoongozwa na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho Dkt. Wilbroad Silaa
“Kuna makundi ya watu kama Dkt. Silaa na kikundi kinachojiita Sauti ya Watanzania, Dkt. Silaa alikimbia CHADEMA mwenyewe akaenda Chama Cha Mapinduzi (CCM) akafungiwa Serena pale(Serena Hotel) baadae akahamishiwa Canada akapewa zawadi ya ubalozi.”
Mbowe ameongeza kuwa amekuwa akishangazwa na wanaomuunga mkono Lissu kuwa sio watu ambao ni wanachama kweli kweli hata hivyo anashindwa kuelewa kwa nini Dkt. Silaa hawekezi nguvu kwenye chama chake bali anawekeza muda na nguvu CHADEMA.
“Kazi aliyoifanya muda wote akiwa balozi(Dkt.Silaa) chini ya utawala wa Magufuli(Hayati Dkt. John Pombe Magufuli) ni kujaribu kuichonganisha CHADEMA na kutoa taarifa na mpaka kuandika kitabu cha uongo eti leo Dkt.Silaa ndiye anafanya kampeni ya Lissu kuchukua uongozi wa chama alisahau nini Dkt Silaa ambacho leo anakitaka”
Hata hivyo Mbowe ameongeza kuwa wengine wanaomuunga mkono Lissu ni pamoja na aliyekuwa Mbunge wa Iringa na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa Mchungaji Peter Msigwa ambaye kwa sasa ni kada wa CCM.
Source: Jambo TV
Waliokaribu na mbowe wamsaidie jmn anazidi kutoka nje ya mstari, anatia huruma sasa anaanza kuogopa diaspora, kesho ataogopa wanasheria kesho kutwa viongozi wa dini na asiposaidiwa ataiogopa kamati kuu, mda utaongea
Kama we ni mbuzi jike , beberu haliepukiki ili uzae . Au hupendi kuwa na watoto ?Bora kibaraka wa Mtanzania kuliko vibaraka wa Mabeberu
Mzee mwenyewe, huyu m/kiti amejionesha wazi ni emptied mind. Kwa heshima aliyokuwa amejijengea angefuata ushauri wa familia kuliko ujinga anaouonesha katikati ya kadamnasaMapinduzi yenye faida sio kitu kibaya, mapinduzi ya kumpindua Mbowe sio kitu kibaya
DuuhTetesi toka Twitter zinasema mwamba kalambishwa asali ya 12B + na bado anataka asali zaidi. Dr slaa kazungumzia hilo clubhouse ya Twitter anasema kapewa Taarifa na vijana wa system. Vijana wa system wameona wampe taarifa slaa
Video ya sauti ya Dr slaa akielezea watu wanavyolamba asali ipo hapo
View: https://youtu.be/lU_QbyAtMUM?si=w_g-bndY2v_e58vQ
Mbowe kawa mpumbavu kabisa Lissu kachukua form hadharani leo hii anaita ni mapinduzi, kumbe ndiyo maana alipata div 0 .Katika hili sakata la uchaguzi unaona kabisa Mbowe hakutegemea upinzani kwenye nafasi yake. Hii inaonesha alikuwa amejiandaa na business as usual sababu ukimsikiliza hana hoja zinazoshawishi yeye kuendelea kuwa mwenyekiti zaidi ya kulalamika tu.
Kila wakati anapokuwepo mtu wa kuchallenge nafasi yake anakimbilia watu wanataka kufanya mapinduzi.
Haiwezi kitokeaKama we ni mbuzi jike , beberu haliepukiki ili uzae . Au hupendi kuwa na watoto ?
Kitima na Lisu ni Kijiji kimoja na hajaanza Leo kumpoganiaBila shaka Lisu hakuweka wazi jina la kiongozi wa kiroho, huyu kitenge sijui alitoa wapi hilo jina!!, anyway hakuna ubaya kwa kiongozi wa kiroho kupatanisha watu maana imeandikwa heri wapatanishi
Ni tetesi toka Twitter hata Dr Slaa kazungumzia hilo suala🤣. Ila tuweke masihara pembeni, 12B sio pesa ya kitoto 🤣Duuh
Kuomba Msaada ni tofauti na kibaraka kuwa IkuluMnawaita mabeberu ndo hao hao nchi yako inawaomba misaada mara kwa mara!,sasa tuwaeleweje!?,,
Bado Nkurunzinza hajasema , na atasemaDuuh
Ndiyo maana mapinduzi yaliyomuondoa Sultan wa Zanzibar hadi leo yanaitwa mapinduzi matukufu,vivyo hivyo mapinduzi ya kumng'oa Sultan Mbowe yamebarikiwa.Mapinduzi yenye faida sio kitu kibaya, mapinduzi ya kumpindua Mbowe sio kitu kibaya
Mbowe must go, enough is enoughMwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA @chadematzofficial Freeman Mbowe amesema kuna makundi yanayoratibu kufanyika mapinduzi ndani ya chama hicho na makundi hayo ndiyo yanayomsukuma Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Bara, Tundu Lissu kugombea nafasi ya Uenyekiti.
“Kuna kundi linaloitwa diaspora (watanzania waishio ughaibuni) ni kundi dogo tu wala sio kusema ni diaspora wote wa Tanzania hili kundi dogo linalojaribu kupanga mapinduzi ndani ya CHADEMA wengine hata hatuwajui tunawaona tu kwenye majina ya mitandaoni wanajiita Tanzania Diaspora ni kundi ndani ya Diaspora”
Mbowe ameeleza kuwa zaidi ya kundi hilo kuna kikundi kingine kinachoitwa Sauti ya Watanzania ambacho kinachoongozwa na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho Dkt. Wilbroad Silaa
“Kuna makundi ya watu kama Dkt. Silaa na kikundi kinachojiita Sauti ya Watanzania, Dkt. Silaa alikimbia CHADEMA mwenyewe akaenda Chama Cha Mapinduzi (CCM) akafungiwa Serena pale(Serena Hotel) baadae akahamishiwa Canada akapewa zawadi ya ubalozi.”
Mbowe ameongeza kuwa amekuwa akishangazwa na wanaomuunga mkono Lissu kuwa sio watu ambao ni wanachama kweli kweli hata hivyo anashindwa kuelewa kwa nini Dkt. Silaa hawekezi nguvu kwenye chama chake bali anawekeza muda na nguvu CHADEMA.
“Kazi aliyoifanya muda wote akiwa balozi(Dkt.Silaa) chini ya utawala wa Magufuli(Hayati Dkt. John Pombe Magufuli) ni kujaribu kuichonganisha CHADEMA na kutoa taarifa na mpaka kuandika kitabu cha uongo eti leo Dkt.Silaa ndiye anafanya kampeni ya Lissu kuchukua uongozi wa chama alisahau nini Dkt Silaa ambacho leo anakitaka”
Hata hivyo Mbowe ameongeza kuwa wengine wanaomuunga mkono Lissu ni pamoja na aliyekuwa Mbunge wa Iringa na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa Mchungaji Peter Msigwa ambaye kwa sasa ni kada wa CCM.
Source: Jambo TV
he got a point there lakin dhana ya adui wa adui yangu ni rafiki yangu.Ila kwenye suala la mapinduzi hapo sasa uongo.Kumbe yawezekana hata kile kilichotokea kwa Zitto haikua mapinduzi!!!!Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA @chadematzofficial Freeman Mbowe amesema kuna makundi yanayoratibu kufanyika mapinduzi ndani ya chama hicho na makundi hayo ndiyo yanayomsukuma Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Bara, Tundu Lissu kugombea nafasi ya Uenyekiti.
“Kuna kundi linaloitwa diaspora (watanzania waishio ughaibuni) ni kundi dogo tu wala sio kusema ni diaspora wote wa Tanzania hili kundi dogo linalojaribu kupanga mapinduzi ndani ya CHADEMA wengine hata hatuwajui tunawaona tu kwenye majina ya mitandaoni wanajiita Tanzania Diaspora ni kundi ndani ya Diaspora”
Mbowe ameeleza kuwa zaidi ya kundi hilo kuna kikundi kingine kinachoitwa Sauti ya Watanzania ambacho kinachoongozwa na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho Dkt. Wilbroad Silaa
“Kuna makundi ya watu kama Dkt. Silaa na kikundi kinachojiita Sauti ya Watanzania, Dkt. Silaa alikimbia CHADEMA mwenyewe akaenda Chama Cha Mapinduzi (CCM) akafungiwa Serena pale(Serena Hotel) baadae akahamishiwa Canada akapewa zawadi ya ubalozi.”
Mbowe ameongeza kuwa amekuwa akishangazwa na wanaomuunga mkono Lissu kuwa sio watu ambao ni wanachama kweli kweli hata hivyo anashindwa kuelewa kwa nini Dkt. Silaa hawekezi nguvu kwenye chama chake bali anawekeza muda na nguvu CHADEMA.
“Kazi aliyoifanya muda wote akiwa balozi(Dkt.Silaa) chini ya utawala wa Magufuli(Hayati Dkt. John Pombe Magufuli) ni kujaribu kuichonganisha CHADEMA na kutoa taarifa na mpaka kuandika kitabu cha uongo eti leo Dkt.Silaa ndiye anafanya kampeni ya Lissu kuchukua uongozi wa chama alisahau nini Dkt Silaa ambacho leo anakitaka”
Hata hivyo Mbowe ameongeza kuwa wengine wanaomuunga mkono Lissu ni pamoja na aliyekuwa Mbunge wa Iringa na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa Mchungaji Peter Msigwa ambaye kwa sasa ni kada wa CCM.
Source: Jambo TV
Tuambie kivipi Lissu hafanyi kampeni kistaarabu?