Pre GE2025 Freeman Mbowe: Dkt. Slaa na wanaojiita Tanzania Diaspora wanapanga kufanya mapinduzi ndani ya CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sijawahi kumuona Mbowe akiwa under pressure, kumbe akiwa depressed
boya kiasi hichi, imagine huyu angaukwaa uraisi wa Tanzania angepiga marufuku hata neno UCHAGUZI na KATIBA. hata Mobutu Sese seko angaionea huru.
Tetesi toka Twitter zinasema mwamba kalambishwa asali ya 12B + na bado anataka asali zaidi. Dr slaa kazungumzia hilo clubhouse ya Twitter anasema kapewa Taarifa na vijana wa system. Vijana wa system wameona wampe taarifa slaa

Video ya sauti ya Dr slaa akielezea watu wanavyolamba asali ipo hapo

View: https://youtu.be/lU_QbyAtMUM?si=w_g-bndY2v_e58vQ
 
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA @chadematzofficial Freeman Mbowe amesema kuna makundi yanayoratibu kufanyika mapinduzi ndani ya chama hicho na makundi hayo ndiyo yanayomsukuma Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Bara, Tundu Lissu kugombea nafasi ya Uenyekiti.

“Kuna kundi linaloitwa diaspora (watanzania waishio ughaibuni) ni kundi dogo tu wala sio kusema ni diaspora wote wa Tanzania hili kundi dogo linalojaribu kupanga mapinduzi ndani ya CHADEMA wengine hata hatuwajui tunawaona tu kwenye majina ya mitandaoni wanajiita Tanzania Diaspora ni kundi ndani ya Diaspora”

Mbowe ameeleza kuwa zaidi ya kundi hilo kuna kikundi kingine kinachoitwa Sauti ya Watanzania ambacho kinachoongozwa na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho Dkt. Wilbroad Silaa

“Kuna makundi ya watu kama Dkt. Silaa na kikundi kinachojiita Sauti ya Watanzania, Dkt. Silaa alikimbia CHADEMA mwenyewe akaenda Chama Cha Mapinduzi (CCM) akafungiwa Serena pale(Serena Hotel) baadae akahamishiwa Canada akapewa zawadi ya ubalozi.”

Mbowe ameongeza kuwa amekuwa akishangazwa na wanaomuunga mkono Lissu kuwa sio watu ambao ni wanachama kweli kweli hata hivyo anashindwa kuelewa kwa nini Dkt. Silaa hawekezi nguvu kwenye chama chake bali anawekeza muda na nguvu CHADEMA.

“Kazi aliyoifanya muda wote akiwa balozi(Dkt.Silaa) chini ya utawala wa Magufuli(Hayati Dkt. John Pombe Magufuli) ni kujaribu kuichonganisha CHADEMA na kutoa taarifa na mpaka kuandika kitabu cha uongo eti leo Dkt.Silaa ndiye anafanya kampeni ya Lissu kuchukua uongozi wa chama alisahau nini Dkt Silaa ambacho leo anakitaka”

Hata hivyo Mbowe ameongeza kuwa wengine wanaomuunga mkono Lissu ni pamoja na aliyekuwa Mbunge wa Iringa na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa Mchungaji Peter Msigwa ambaye kwa sasa ni kada wa CCM.

Source: Jambo TV
Waliokaribu na mbowe wamsaidie jmn anazidi kutoka nje ya mstari, anatia huruma sasa anaanza kuogopa diaspora, kesho ataogopa wanasheria kesho kutwa viongozi wa dini na asiposaidiwa ataiogopa kamati kuu, mda utaongea
 
Walio karibu nae ni kina Ntobi na yule MMM

Unategemea nini?
 
Katika hili sakata la uchaguzi unaona kabisa Mbowe hakutegemea upinzani kwenye nafasi yake. Hii inaonesha alikuwa amejiandaa na business as usual sababu ukimsikiliza hana hoja zinazoshawishi yeye kuendelea kuwa mwenyekiti zaidi ya kulalamika tu.
Kila wakati anapokuwepo mtu wa kuchallenge nafasi yake anakimbilia watu wanataka kufanya mapinduzi.
Mbowe kawa mpumbavu kabisa Lissu kachukua form hadharani leo hii anaita ni mapinduzi, kumbe ndiyo maana alipata div 0 .
 
Bila shaka Lisu hakuweka wazi jina la kiongozi wa kiroho, huyu kitenge sijui alitoa wapi hilo jina!!, anyway hakuna ubaya kwa kiongozi wa kiroho kupatanisha watu maana imeandikwa heri wapatanishi
Kitima na Lisu ni Kijiji kimoja na hajaanza Leo kumpogania
 
Mlio karibu na Mbowe mkae naye vizuri.

Kwa hali hii aliyofikia he has stoop so low!

It is dissapointing.
 
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA @chadematzofficial Freeman Mbowe amesema kuna makundi yanayoratibu kufanyika mapinduzi ndani ya chama hicho na makundi hayo ndiyo yanayomsukuma Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Bara, Tundu Lissu kugombea nafasi ya Uenyekiti.

“Kuna kundi linaloitwa diaspora (watanzania waishio ughaibuni) ni kundi dogo tu wala sio kusema ni diaspora wote wa Tanzania hili kundi dogo linalojaribu kupanga mapinduzi ndani ya CHADEMA wengine hata hatuwajui tunawaona tu kwenye majina ya mitandaoni wanajiita Tanzania Diaspora ni kundi ndani ya Diaspora”

Mbowe ameeleza kuwa zaidi ya kundi hilo kuna kikundi kingine kinachoitwa Sauti ya Watanzania ambacho kinachoongozwa na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho Dkt. Wilbroad Silaa

“Kuna makundi ya watu kama Dkt. Silaa na kikundi kinachojiita Sauti ya Watanzania, Dkt. Silaa alikimbia CHADEMA mwenyewe akaenda Chama Cha Mapinduzi (CCM) akafungiwa Serena pale(Serena Hotel) baadae akahamishiwa Canada akapewa zawadi ya ubalozi.”

Mbowe ameongeza kuwa amekuwa akishangazwa na wanaomuunga mkono Lissu kuwa sio watu ambao ni wanachama kweli kweli hata hivyo anashindwa kuelewa kwa nini Dkt. Silaa hawekezi nguvu kwenye chama chake bali anawekeza muda na nguvu CHADEMA.

“Kazi aliyoifanya muda wote akiwa balozi(Dkt.Silaa) chini ya utawala wa Magufuli(Hayati Dkt. John Pombe Magufuli) ni kujaribu kuichonganisha CHADEMA na kutoa taarifa na mpaka kuandika kitabu cha uongo eti leo Dkt.Silaa ndiye anafanya kampeni ya Lissu kuchukua uongozi wa chama alisahau nini Dkt Silaa ambacho leo anakitaka”

Hata hivyo Mbowe ameongeza kuwa wengine wanaomuunga mkono Lissu ni pamoja na aliyekuwa Mbunge wa Iringa na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa Mchungaji Peter Msigwa ambaye kwa sasa ni kada wa CCM.

Source: Jambo TV
Mbowe must go, enough is enough
 
he got a point there lakin dhana ya adui wa adui yangu ni rafiki yangu.Ila kwenye suala la mapinduzi hapo sasa uongo.Kumbe yawezekana hata kile kilichotokea kwa Zitto haikua mapinduzi!!!!
 
Tuambie kivipi Lissu hafanyi kampeni kistaarabu?

Kampeni hasa za chama namaanisha wote mnajenga nyumba moja si vizuri kuanza kuchambana ,uchaguzi ndani ya chama wajikite kwenye hoja/sera na si attacks ...siasa za attacks ni Chama A kwenda Chama B.

Lissu ana attack viongozi wake sasa na kiongozi akiwa attacked lazima ajibu ili kuweka mambo clear na hapo ndipo yanapotokea malumbano.

Ukiona unasifiwa na adui basi jua unakosea...Lissu anasifiwa sana na anapata support kubwa kutoka sisiemu.
 
Back
Top Bottom