Uchaguzi 2020 Freeman Mbowe: Kuna mamilioni ya wapigakura hewa na kuna vituo vingi hewa, bila NEC kurekebisha hakutakuwa na uchaguzi

Kwani Zanzibar hawapigi kura za JMT.

Sasa kama alimaanisha Zanzibar kwa nini amesema (Mbowe) ,, mamilioni ya wapiga kura hewa '''? Zanzibar mamilioni ya wapiga kura yanatokea wapi wakati idadi ya Wazanzibari wote haifiki milioni1.5?
 
Mkuu haya mambo yanakera ndiyo ukute watu wanakesha kusema tunaomba amani huku wakiacha HAKI ijipotelee.
Halafu kuna watu wako proud kutetea ujinga huu.
 
"Chadema will have fabricated more than 1.M,"
Ulisoma ulichokiandika kabla ya kubonyeza kitufe cha kutuma?
 
Safari hii kishakwama
 
Sasa kama alimaanisha Zanzibar kwa nini amesema (Mbowe) ,, mamilioni ya wapiga kura hewa '''? Zanzibar mamilioni ya wapiga kura yanatokea wapi wakati idadi ya Wazanzibari wote haifiki milioni1.5?
Endeleeni kucheza na amani.

Nchi hizi ziitwazo shithole zina maudhi sana. Kama hawataki kutoka madarakani kwa njia ya uchaguzi, wanafanya uchaguzi wa nini. Watoke kwenye udikteta uchwara wawe madikteta kamili ijulikane.

YESU NI BWANA NA MWOKOZI
Ivi ndo Mana Trump alitutukana kwa sababu ya Mambo Kama haya eti
 
CCM wanataka kuondoka kwa shari..... hii ni aibu ya mwaka kwa NEC hii.
 
Weka ushahidi hapa kama Zanzibar ina zaidi ya wapiga kura kura milioni 1, ...
Mwaka huu mtajua hamjui Kwani Mbowe ni mkiti wa Zanzibar tu, use your common sense.

Mkuu haya mambo yanakera ndiyo ukute watu wanakesha kusema tunaomba amani huku wakiacha HAKI ijipotelee.

Hi imejaa ujinga mwingi sana. Bila shaka hii itakuwa LAANA YA BABA WA TAIFA. Nimefuatilia maneno ya Viongozi wa Dini kwenye Kampeni za Magufuli wanachoomba ni MAGUFULI AWE RAIS...What a non-sense? Badala ya kuombea Uchaguzi uwe Huru na Haki na kuiombea NEC itende haki bila upendeleo wao wanalaani Wapinzani kuwa ndio watasababisha vurugu...Akili za matope!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…