Matendo yao ACT ndio yanawaweka kwrnye hiyo Category. Chadema iko very clear. Umeona tukioa la kina Mdee?? Hatulei ujinga sisi na hii ndio sababu ya watanzania kutuamini.Angekuwa Zitto na ACT yake angeitwa msaliti
Hii nchi ngumu sana aiseeee
Tujifunze kuupa muda nafasi ili tujiridhishe.
Kanywe sumu sasa.Mara ooh hatumtambui Rais na serikali yake iliyotokana na uchafuzi mkuu, shenzi taipuuu..!!
Kuna watu wanatamani hata wamu-lissu. Huko ccm kuna watu na viatu.Wana CCM radical hawatapenda kabisa hii kitu mama Samia anafanya.
Unadhani wewe hiyo mbinu unaijua zaidi kuliko Mbowe?Hii mbinu waliitumia kwa Maalim Seif (Mwafaka) kule Zanzibar. Maalim aliposhinda uchaguzi wakafuta matokeo. Ni hivyo hivyo itakuwa kwa CHADEMA. Wanawapumbaza ili waongoze kwa amani hadi 2025 watakapoiba uchaguzi tena. Mbowe asiwe mjinga.
Na mimi nawashangaa wanaoshindwa kuelewa hii move ya Mama Samia.Mkuu,
Huwezi kufuta legacy za dikteta meko kwa siku moja.
90% ya viongozi waliwekwa na meko.
Kuanzia Tulia akson
Yapi?Hahahaha kuweka mambo sawa mkuu
Ikulu nyumba ya umma.Wanafuata nini ikulu kila mara kama sio kupotezeana muda?
Katika kipindi ambacho wanachama na viongozi wengi wa CDM bado wanakabiliwa na kesi nyingi za uchochezi ambazo walibambikiwa katika zama za utawala wa giza, huku wengine miongoni mwao wakiwa bado wapo korokoroni.Wakuu,
Muda huu M/Kiti wa CHADEMA na viongozi waandamizi 9 wa chama hicho wapo Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma.
Tutarajie jambo gani jipya? Ndo ukurasa mpya wa Siasa za Tanzania?
UPDATE:
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameongoza Kikao cha majadiliano pamoja na Viongozi Wakuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 20 Mei, 2022.
Baadhi ya Viongozi wa CHADEMA waliohudhuria Kikao hicho ni Mwenyekiti Freeman Mbowe, Makamu Mwenyekiti Zanzibar Saidi Issa Mohamed, Katibu Mkuu wa Chama hicho John Mnyika pamoja na Baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu na Sekretarieti ya Chama hicho.
View attachment 2232248View attachment 2232250
View attachment 2232257View attachment 2232258View attachment 2232259
View attachment 2232260
View attachment 2232570
Ukiangalia hizo picha, inaonyesha upande mmoja, ukimtoa Rais, hakuna mshiriki mwanamke. Swali jeee, huko hakuna wanawake ambao wangefaa kwenye mazungumzo hayo?Mkuu badala yake wafanye nini? Waandamane? Wako wapi waandamanaji
Waingie msituni? Liko wapi jeshi la kuingia msituni?
Wewe kama ulikuwa kwenye akili yangu. Hivi kwanini Mambo yaliyomo kwenye katiba yaombwe kama hisani toka kwa rais?Wanafuata nini ikulu kila mara kama sio kupotezeana muda?
Mkuu Kuna wakati binadam hufungwa akili, mtoa post ameangalia mbali KWa fikra pevuUnadhani wewe hiyo mbinu unaijua zaidi kuliko Mbowe?
Ukiangalia hizo picha, inaonyesha upande mmoja, ukimtoa Rais, hakuna mshiriki mwanamke. Swali jeee, huko hakuna wanawake ambao wangefaa kwenye mazungumzo hayo?
SIASA SIO UGOMVI. NANI ANGEAMINI KUWA LEO KATAMBI AU SILINDE NI MAWAZIRI?
SUKUMA GANG WANAMALIZA BANDO KUTUKANA ILA:
mashinji
Gekuli
Silinde
Waitara
Katambi
Nasari
...
....
....
....
Ndio wanaolamba asali sasa hivi.
Magaidi wamekutana na raisi ikulu kupanga ugaidi. Sukuma gang wanasonya nusu wameze ndimi zao.hivi hao akina Mbowe ndio magufuli alisema anaogopa kukaa nao meza moja maana wanaweza kumchinja
Kama spika wa bumge yuko pale kwa lura za wizi.. unategemea ataacha kuchukua maamuzi ya kizandiki na maelekezoNa mimi nawashangaa wanaoshindwa kuelewa hii move ya Mama Samia.
Mjue Mama amezungukwa na viatu wengi.
MwendazakeYule aliyetaka upinzani ufe kabla ya 2020 atakua anaramba ndimu sasa hivi.
mungu mtu hata kuchorwa kwenye katuni alikua hataki. Binadamu sisi ndio maana tuliumbwa na mapungufu. Sipati picha baafhi yetu tungekua na ukamilifu hata robo zaidi ya binadamu wa sasa.