Matendo kama yapiMatendo yao ACT ndio yanawaweka kwrnye hiyo Category. Chadema iko very clear. Umeona tukioa la kina Mdee?? Hatulei ujinga sisi na hii ndio sababu ya watanzania kutuamini.
Maana hata akikutana na Raisi bado Zitto ataambiwa kafata maslahi na uzuri hyo mijadala ipo humu pia
Tatizo siasa zetu za Tanzania kuna kakikundi kanajihesabia haki zaidi ya wengine
Hyo ipo CCM,Chadema,ACT n.k kila kimoja kinajiona chenyewe ndio kina haki zaidi ya kingine
Ndio maana hata wakifika kwenye uchaguz huwa wanaungana kinafiki majimbo hawaachiani kiukwel ukwel wanafanyiana figisu kwa kuweka wagombea wawili eneo moja.