Freeman Mbowe, Mnyika na Viongozi CHADEMA wakutana na Rais Samia na Viongozi wa CCM Ikulu ya Chamwino - Dodoma leo 20/5/2022

Freeman Mbowe, Mnyika na Viongozi CHADEMA wakutana na Rais Samia na Viongozi wa CCM Ikulu ya Chamwino - Dodoma leo 20/5/2022

Ni kweli Samia ameachana na baadhi ya mambo ya Jiwe, LAKINI amesort, yale yanayomnufaisha, ameyarithi..Sahau mikutano ya hadhara; Sahau Katiba
 
So what ?
Chawa umedhalilishwa na mwenye chawa mchana kweupe, bila kujali kama maamuzi yake yatakufurahisha wewe na chawa wenzako au yatakuchukizeni. Mmekuwa wepesi ku attack wenyeviti na viongozi wa wapinzani wenzenu ili kuwafurahisha wenye chawa wenu, sasa hali imekuwa ikiwarudia nyie wenyewe ili Mungu awadhalilishe kama mnavyowadhalilisha wenzenu. Malalamiko yenu mitandaoni hayana tija wala hayathaminiwi na boss wenu. Kaishaamua sasa kuwa na Samia na huna la kumfanya.
 
Poor answer.,
Mbowe alikuwa kiongozi aliyekuwa na matumaini kwa watu sasa anakuwa mbogo na kuwasaliti kwa miezi 8 aliyokaa jela
Mbowe anafanya kazi kwa njia yake, ulimpigania kwa kipi kwa hiyo miezi 8 ya kukaa jela, hadi leo tuone amekusaliti?!
Au unataka arudi jela, ndo uone kwamba hakusaliti?! Arguement yako ni very poor, lakini sukumagang kujitambulisha ni rahisi sana!
 
Mungu wa mbinguni awabariki sana

Hivi vikao vya Kikosi kazi chini ya Prof Mkandalla na vile vya Chadema kule Ikulu Wajumbe wanalipwa Posho?
 
Hivi vikao vya Kikosi kazi chini ya Prof Mkandalla
Tena wanalipwa pesa ndefu sana. Siyo chini ya laki 3 kwa siku.

Halafu ndiyo wameambiwa wapige hiyo kazi mpaka 2030

Hivi vya chadema na serikali wanalipwa wale maafisa wa serikali tu. Akina Mnyika wao wanaambulia chai na maandazi. Labda chadema iwe imewaandalia posho
 
Mbowe anafanya kazi kwa njia yake, ulimpigania kwa kipi kwa hiyo miezi 8 ya kukaa jela, hadi leo tuone amekusaliti?!
Au unataka arudi jela, ndo uone kwamba hakusaliti?! Arguement yako ni very poor, lakini sukumagang kujitambulisha ni rahisi sana!

Lete sababu za msingi kwanini alikuwa na kesi ya kujibu na ghafla kesi inafutwa lakini anatoka na kuunganisha Ikulu kwa mtesi wake, em jibu hili suali japo points 2 tu.
 
Mungu wa mbinguni awabariki sana

Hivi vikao vya Kikosi kazi chini ya Prof Mkandalla na vile vya Chadema kule Ikulu Wajumbe wanalipwa Posho?
Halafu ukijua utapata faida gani? Badala ya kuuliza vitu vya msingi, unauliza mambo ya kijinga.
 
Mungu wa mbinguni awabariki sana

Hivi vikao vya Kikosi kazi chini ya Prof Mkandalla na vile vya Chadema kule Ikulu Wajumbe wanalipwa Posho?
Jo kwani huoni kama Kuna kazi inafanyika?Imeandikwa asiyefanya kazi naa asile,ila anayefanya kazi naaupate ujira anaostahili.Pia kumbuka wakwapuaji wote kwao Motoni🚶
 
Hawawezi acha kujilipa.

Kuhudhuria kwenye kesi walikua wanajilipa mkuu.
Tuambie kwanza ni maana ya KAZI,halafu tuambie ni KAZI zipi zisizoshahili kulipwa Kwa anayeifanya.Ukitoa majibu tuendelee kuzungumza.🚶
 
Back
Top Bottom