Anonymous Caller
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 679
- 870
Akina halima wao wanaenda lini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chawa umedhalilishwa na mwenye chawa mchana kweupe, bila kujali kama maamuzi yake yatakufurahisha wewe na chawa wenzako au yatakuchukizeni. Mmekuwa wepesi ku attack wenyeviti na viongozi wa wapinzani wenzenu ili kuwafurahisha wenye chawa wenu, sasa hali imekuwa ikiwarudia nyie wenyewe ili Mungu awadhalilishe kama mnavyowadhalilisha wenzenu. Malalamiko yenu mitandaoni hayana tija wala hayathaminiwi na boss wenu. Kaishaamua sasa kuwa na Samia na huna la kumfanya.So what ?
Poor answer.,Wewe kadai hiyo katiba, Kwani wewe siyo Mtanzania?
Mbowe anafanya kazi kwa njia yake, ulimpigania kwa kipi kwa hiyo miezi 8 ya kukaa jela, hadi leo tuone amekusaliti?!Poor answer.,
Mbowe alikuwa kiongozi aliyekuwa na matumaini kwa watu sasa anakuwa mbogo na kuwasaliti kwa miezi 8 aliyokaa jela
Tena wanalipwa pesa ndefu sana. Siyo chini ya laki 3 kwa siku.Hivi vikao vya Kikosi kazi chini ya Prof Mkandalla
Unaona unavyoteseka na CHADEMA JoMungu wa mbinguni awabariki sana
Hivi vikao vya Kikosi kazi chini ya Prof Mkandalla na vile vya Chadema kule Ikulu Wajumbe wanalipwa Posho?
Uzi wa kipuuzi kupita maelezo.Mungu wa mbinguni awabariki sana
Hivi vikao vya Kikosi kazi chini ya Prof Mkandalla na vile vya Chadema kule Ikulu Wajumbe wanalipwa Posho?
Mbowe anafanya kazi kwa njia yake, ulimpigania kwa kipi kwa hiyo miezi 8 ya kukaa jela, hadi leo tuone amekusaliti?!
Au unataka arudi jela, ndo uone kwamba hakusaliti?! Arguement yako ni very poor, lakini sukumagang kujitambulisha ni rahisi sana!
Wanalamba asali, ndio maana mwenyekiti haongelei tena katiba.Mungu wa mbinguni awabariki sana
Hivi vikao vya Kikosi kazi chini ya Prof Mkandalla na vile vya Chadema kule Ikulu Wajumbe wanalipwa Posho?
Muulize Raisi ndiye aliwaita.Mungu wa mbinguni awabariki sana
Hivi vikao vya Kikosi kazi chini ya Prof Mkandalla na vile vya Chadema kule Ikulu Wajumbe wanalipwa Posho?
Halafu ukijua utapata faida gani? Badala ya kuuliza vitu vya msingi, unauliza mambo ya kijinga.Mungu wa mbinguni awabariki sana
Hivi vikao vya Kikosi kazi chini ya Prof Mkandalla na vile vya Chadema kule Ikulu Wajumbe wanalipwa Posho?
Karibu tena mankaUzi wa kipuuzi kupita maelezo.
Nakwambia siasa za nchi hii ni sayansi wala si Kukurupuka,
Hii imekuuma sana!Halafu ukijua utapata faida gani? Badala ya kuuliza vitu vya msingi, unauliza mambo ya kijinga.
Labda Zitto Kabwe atatujibuUnaona unavyoteseka na CHADEMA Jo
Jo kwani huoni kama Kuna kazi inafanyika?Imeandikwa asiyefanya kazi naa asile,ila anayefanya kazi naaupate ujira anaostahili.Pia kumbuka wakwapuaji wote kwao Motoni🚶Mungu wa mbinguni awabariki sana
Hivi vikao vya Kikosi kazi chini ya Prof Mkandalla na vile vya Chadema kule Ikulu Wajumbe wanalipwa Posho?
Tuambie kwanza ni maana ya KAZI,halafu tuambie ni KAZI zipi zisizoshahili kulipwa Kwa anayeifanya.Ukitoa majibu tuendelee kuzungumza.🚶Hawawezi acha kujilipa.
Kuhudhuria kwenye kesi walikua wanajilipa mkuu.