Freeman Mbowe: "Mtu anaweza tu akashangiliwa kwenye majukwaa akapigiwa kura, lakini hakuna meritocracy (uwezo)". Je, dawa mujarabu ni ipi?

Hii nje ya mada mkuu
 
Katibu huwa ni mteuliwa kwa sifa na utendaji wake. Bora mtu mwingine awe easy going lakini katibu awe technocrats.
Hii ipo wazi siku zote na sijawahi kuona katibu anapigiwa kura sehemu yoyote ile. Hivyo haina ubishi.

Mbowe anasema mfumo wa kupata viongozi bora kwa kisiasa kwa njia ya kura sio sahihi, sasa mfumo upi unaweza kutufaa vema sisi watanzania wa vyama vyote?
 
Alisikika mlevi mmoja
 
Mwenyekiti ndio mfano hai wa wanasiasa wasio na uwezo yaani katumia fursa ya UDJ na akawa mwanasiasa.
Wewe naye ni mfano bora wa siasa za kijinga za maji taka! Mbowe alikuwa akimiliki club billicanas, lakini hajawai kuwa DJ, pengine hana ufahamu wowote wa u-DJ!
 
Raha ya JamiiForums kuna mazuzu hayajui hata maana ya "MERITOCRACY", ila yatakuja kubisha na kumwaga povu mpaka mishipa ya sehemu za siri iyasimame.

Sihami JF ng'o, ntabakia kuwa member mpaka dakika za majeruhi.
Kuna watu wana alergy na jina Mbowe, wakiliona mahali wala hawajishughulishi kusoma content ya habari, wao hukimbilia kumsakama tu
 
Kuna watu wana alergy na jina Mbowe, wakiliona mahali wala hawajishughulishi kusoma content ya habari, wao hukimbilia kumsakama tu
Ni nani amemsakama Mbowe? Mimi nikimsakama Mbowe nitapata faida gani katika maisha yangu?
 
Kuna watu wana alergy na jina Mbowe, wakiliona mahali wala hawajishughulishi kusoma content ya habari, wao hukimbilia kumsakama tu
Mbowe ni mwizi wa ruzuku kama wezi wengine tu wa EPA na ESCROW.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…