Freeman Mbowe: "Mtu anaweza tu akashangiliwa kwenye majukwaa akapigiwa kura, lakini hakuna meritocracy (uwezo)". Je, dawa mujarabu ni ipi?

Freeman Mbowe: "Mtu anaweza tu akashangiliwa kwenye majukwaa akapigiwa kura, lakini hakuna meritocracy (uwezo)". Je, dawa mujarabu ni ipi?

Hili suala la COVID - 19 pale bungeni ni danadana tu ilihali Freeman mbowe Aikael anafahamu kinachoendelea. Kama wale wabunge ni haramu ni kwa nini akina mbowe wapokee (kama wanapokea) na kutumia ruzuku haramu inayotokana wa watu haramu wanaovunja ibara ya 78(e) ya Katiba ya JMT?
Hii nje ya mada mkuu
 
Katibu huwa ni mteuliwa kwa sifa na utendaji wake. Bora mtu mwingine awe easy going lakini katibu awe technocrats.
Hii ipo wazi siku zote na sijawahi kuona katibu anapigiwa kura sehemu yoyote ile. Hivyo haina ubishi.

Mbowe anasema mfumo wa kupata viongozi bora kwa kisiasa kwa njia ya kura sio sahihi, sasa mfumo upi unaweza kutufaa vema sisi watanzania wa vyama vyote?
 
Lengo la Mbowe ni kutaka sheria itakayokuwa inaruhusu viti maalumu kwa jinsia zote, yani kwa wanaume na wanawake ili mgombea akiangukia pua ktk uchaguzi kama alivyoanguka yeye, basi aingie bungeni kwa kupitia mgongo wa viti maalumu kama ilivyotokea sasa hivi kwa kina Mdee na genge lake. Kitendo cha kina mdee kupiga hela kupitia vikao na mishahara ya bunge kina muumiza sana kichwa Mbowe na genge lake.
Alisikika mlevi mmoja
 
Mwenyekiti ndio mfano hai wa wanasiasa wasio na uwezo yaani katumia fursa ya UDJ na akawa mwanasiasa.
Wewe naye ni mfano bora wa siasa za kijinga za maji taka! Mbowe alikuwa akimiliki club billicanas, lakini hajawai kuwa DJ, pengine hana ufahamu wowote wa u-DJ!
 
Raha ya JamiiForums kuna mazuzu hayajui hata maana ya "MERITOCRACY", ila yatakuja kubisha na kumwaga povu mpaka mishipa ya sehemu za siri iyasimame.

Sihami JF ng'o, ntabakia kuwa member mpaka dakika za majeruhi.
Kuna watu wana alergy na jina Mbowe, wakiliona mahali wala hawajishughulishi kusoma content ya habari, wao hukimbilia kumsakama tu
 
Kuna watu wana alergy na jina Mbowe, wakiliona mahali wala hawajishughulishi kusoma content ya habari, wao hukimbilia kumsakama tu
Ni nani amemsakama Mbowe? Mimi nikimsakama Mbowe nitapata faida gani katika maisha yangu?
 
Kuna watu wana alergy na jina Mbowe, wakiliona mahali wala hawajishughulishi kusoma content ya habari, wao hukimbilia kumsakama tu
Mbowe ni mwizi wa ruzuku kama wezi wengine tu wa EPA na ESCROW.
 
Back
Top Bottom