Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #41
Hii nje ya mada mkuuHili suala la COVID - 19 pale bungeni ni danadana tu ilihali Freeman mbowe Aikael anafahamu kinachoendelea. Kama wale wabunge ni haramu ni kwa nini akina mbowe wapokee (kama wanapokea) na kutumia ruzuku haramu inayotokana wa watu haramu wanaovunja ibara ya 78(e) ya Katiba ya JMT?