Teddy1
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 213
- 201
Umesikia Sabaya amesimamishwa kazi?Mbowe ni mwizi wa ruzuku kama wezi wengine tu wa EPA na ESCROW.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesikia Sabaya amesimamishwa kazi?Mbowe ni mwizi wa ruzuku kama wezi wengine tu wa EPA na ESCROW.
Mlevi wa KonyagiAlisikika mlevi mmoja
Mkuu, hapa neno mfumo bila shaka una maanisha akiwa tayari ndani ya chama cha siasa? Au nimekosea?A. Kipaji cha kuongoza mtu halazimishwi au kujifunza kukipata akiwa tayari kwenye mfumo.
Namaanisha kuweka standards ambazo zikifuatwa zitanufaisha raia bila kujali itikadi zao za vyama.Mkuu, hapa neno mfumo bila shaka una maanisha akiwa tayari ndani ya chama cha siasa? Au nimekosea?
Thanks bro.Namaanisha kuweka standards ambazo zikifuatwa zitanufaisha raia bila kujali itikadi zao za vyama.
Aidha, mifumo mizuri ikiwekwa itawalazimu hata wasiotaka wafuate taratibu hizo zenye tija na maslahi kwa taifa.
Kama standards zilizowekwa ni nzuri, udhaifu wowote unaofanyika ndani ya vyama (bila kujali ni chama gani) utapimwa na kuonekana wazi. Hivyo mfumo utawakataa automatically.
Vyama na madaraka ni mambo ya muda, lakini mifumo mizuri inaishi hata baada ya tawala nyingi kupita.
[emoji120]Thanks bro.
SwadaktaA. Kipaji cha kuongoza mtu halazimishwi au kujifunza kukipata akiwa tayari kwenye mfumo.
B. Bidii ya kazi hii unaweza kubadilika kulingana na wakati au watu unaofanya nao kazi.
C. Uwezo wa kuleta matokeo chanya kupitia uongozi na kazi zako, wengi ni bora liende.
Kuwapata hawa siyo jambo la kupangiana kiholela, mtu au kundi lenye ushawishi liamulie wengine.
Nadhani bado anayo nafasi ya kushauri zaidi ni njia gani bora au mfumo wa kupata viongozi wazuri.
Kwa hiyo unakataa kuwa Mbowe hajawahi kuwa DJ?Mmh kama ushaishiwa hoja kiasi hiki ni bora ungejinyamazia, ukasoma tu.
Dada,Kwa hiyo unakataa kuwa Mbowe hajawahi kuwa DJ?
Mkuu Unamwaga madini hadi raha, sijui kwa nini mlikuwa mnajitoa akili kipindi cha jiwe, akili zimerudi sawa big up dogo tujenge nchi.Tukajifunze Kenya Jaji mkuu anavyopatikana kwa mfano.
Au wabunge wa viti maalumu wanavyopatikana.
Au Mwanasheria mkuu wa serikali anavyopatikana nk....nk!
Mbowe ni DJ mstaafu au sio kazi yake hiyo?Dada,
Hivi hayo yako yahusianaje na hoja ya Jingalao?
Pole dadaMbowe ni DJ mstaafu au sio kazi yake hiyo?
Ondoka huko utopolo chadema njoo ccm chama la wanaPole dada
Ukikuwa utafumbuka macho.Ondoka huko utopolo chadema njoo ccm chama la wana
Ona akina mama kama Halina na Esther wanavyowanyanyasa akili zenu mnakuwa kama watoto.Ukikuwa utafumbuka macho.
AMEN
Muache mtu aongee freely wee jamaaMmh kama ushaishiwa hoja kiasi hiki ni bora ungejinyamazia, ukasoma tu.
Hayo ni maoni yangu kwake, lakini yuko huru huru kabisa hata kutoa 'vapour'.Muache mtu aongee freely wee jamaa
Subiri utakuja kuona watoto hasa ni akina nani.Ona akina mama kama Halina na Esther wanavyowanyanyasa akili zenu mnakuwa kama watoto.
Sawa kakaHayo ni maoni yangu kwake, lakini yuko huru huru kabisa hata kutoa 'vapour'.
Kama member wa jf, nitacheka na labda ku comment, lakini sina kabisa uwezo wa kumzuia.
Hata hivyo ndugu, katika maisha, ukitaka kujifunza na kujipa nafasi ya kupanua uelewa wako, kamwe usichukie maoni hasa unapokosolewa. AMEN