Aventus
JF-Expert Member
- Mar 8, 2013
- 2,011
- 2,168
Hawa wote wasaka tonge.Zitto pia sina imani naye kabisa mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa wote wasaka tonge.Zitto pia sina imani naye kabisa mkuu
Kwani huyo Mbowe yupo chama gani? Mimi sio mfuasi sana wa siasa za huko TanzaniaMbowe anapaswa kuwa jela kwa udikteta ndani ya chama
Kuchambana tena mkuu?Uko sawa Huenda na wewe umemaliza Chuo Flani hapa Tz au nje
Ulisomeshwa chuo cha kuchambana?
DuuuhUkimuwazia mbowe utashindwa Kufanya mambo yako
aiseeMbowe atabaki kuwa Mbowe
Na atabaki kuwa Mwenyekiti Bora wa vyama
Wanasiasa wengi wanajipenda wao na sio wananchi. CCM inapenda watanzaniaSiasa ndivyo zilivyo kila kitu kiwe kwa maslahi yao...
Utagombea lini ubunge?Siasa ndivyo zilivyo kila kitu kiwe kwa maslahi yao...
Mwaka huu hakuna ruzuku Bavicha njaa itawaua tafuteni mambo mengine ya kufanya.Uko sawa Huenda na wewe umemaliza Chuo Flani hapa Tz au nje
Ulisomeshwa chuo cha kuchambana?
Ukimuwazia mbowe utashindwa Kufanya mambo yako
Mbowe atabaki kuwa Mbowe
Na atabaki kuwa Mwenyekiti Bora wa vyama
Maslahi yao na sio wananchi?Siasa ndivyo zilivyo kila kitu kiwe kwa maslahi yao...
Mwenyekiti gani mwizi tu yuleUko sawa Huenda na wewe umemaliza Chuo Flani hapa Tz au nje
Ulisomeshwa chuo cha kuchambana?
Ukimuwazia mbowe utashindwa Kufanya mambo yako
Mbowe atabaki kuwa Mbowe
Na atabaki kuwa Mwenyekiti Bora wa vyama
Kazana hizi zama zingne kumbezi mbowe hakujupi promotion yeyote ya uteuzi badala yake utaonwa bwege wa mjini au kijijiniMwenyekiti gani mwizi tu yule
Jamaa anawala sana mademu wa BAWACHAKazana hizi zama zingne kumbezi mbowe hakujupi promotion yeyote ya uteuzi badala yake utaonwa bwege wa mjini au kijijini
Uliwatongoza wa kwambia kamuulize Mbowe??Jamaa anawala sana mademu wa BAWACHA
Naona unatoa povu kama looote. Ukweli unakuuma eeh?Uliwatongoza wa kwambia kamuulize Mbowe??
Kama wewe unadili na Ma House girl wako
Iweje yeye wafate na wewe ukawale
Huo wivu wa humu Jf hautasaidia mzee
Una shida sasa wewe mbowe unamtuhumu ana wala kwan uliskia ana kesi ya ubakaji??Naona unatoa povu kama looote. Ukweli unakuuma eeh?
Anawalazimisha. Waliokataa walifukuzwa ndani ya chamaUna shida sasa wewe mbowe unamtuhumu ana wala kwan uliskia ana kesi ya ubakaji??
Na kama anawala ni kwa makubaliano au sio
Weww utakuwa umerogwa sio kawaidaAnawalazimisha. Waliokataa walifukuzwa ndani ya chama
Labda wewe na yeye wote mmerogwa? Sie tutajuaje?Weww utakuwa umerogwa sio kawaida