Freeman Mbowe: "Mtu anaweza tu akashangiliwa kwenye majukwaa akapigiwa kura, lakini hakuna meritocracy (uwezo)". Je, dawa mujarabu ni ipi?

Freeman Mbowe: "Mtu anaweza tu akashangiliwa kwenye majukwaa akapigiwa kura, lakini hakuna meritocracy (uwezo)". Je, dawa mujarabu ni ipi?

Uko sawa Huenda na wewe umemaliza Chuo Flani hapa Tz au nje

Ulisomeshwa chuo cha kuchambana?
Ukimuwazia mbowe utashindwa Kufanya mambo yako
Mbowe atabaki kuwa Mbowe
Na atabaki kuwa Mwenyekiti Bora wa vyama
Mwaka huu hakuna ruzuku Bavicha njaa itawaua tafuteni mambo mengine ya kufanya.
 
Back
Top Bottom