Rose Gabriella
JF-Expert Member
- Oct 17, 2020
- 603
- 583
Usimfananishe Rais Samia na vitu vya hovyo kama vile Lissu kibaraka wa wazunguTunamsubiri Malikia wa Uingereza naye aje kumsalimia Rais Samia na Watanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usimfananishe Rais Samia na vitu vya hovyo kama vile Lissu kibaraka wa wazunguTunamsubiri Malikia wa Uingereza naye aje kumsalimia Rais Samia na Watanzania
CHADEMA Kila la kheri kwenu leteni mgombea atakayempokonya Samia hata asilimia tano ya kura 2025 kama nyie wanaume kweliUsimfananishe Rais Samia na vitu vya hovyo kama vile Lissu kibaraka wa wazungu
Lissu Afanye kazi yeyote ila sisi hatumuhitaji,Rais Samia anatoshaCHADEMA Kila la kheri kwenu leteni mgombea atakayempokonya Samia hata asilimia tano ya kura 2025 kama nyie wanaume kweli
Watanzania wanampenda huyu Rais Samia haijwahi kutokea Hebu angalia Elimu bure Zahanati kila kona ya Nchi.Lissu Afanye kazi yeyote ila sisi hatumuhitaji,Rais Samia anatosha
Hongera Rais Samia kwa kutupeleka Tanzania katika uchumi wa kati Tupambane tuwafikie USA sasa.Watanzania wanampenda huyu Rais Samia haijwahi kutokea Hebu angalia Elimu bure Zahanati kila kona ya Nchi.
Sisi Watanzania tunaenda na Rais Samia vyama vingine vimeamua kwenda na konyagi Shauri zao.Hongera Rais Samia kwa kutupeleka Tanzania katika uchumi wa kati Tupambane tuwafikie USA sasa.
Tunapendekeza Rais ajaye awe na haiba kama za mama Samia ili aendeleze ukuaji wa uchumi wa kati.Sisi Watanzania tunaenda na Rais Samia vyama vingine vimeamua kwenda na konyagi Shauri zao.
Wakati wa kipindi cha uchaguzi mwaka jana 2020, siku tatu Rais Samia alikuwa amepumzika nyumbani kwa maana alikuwa na uhakika wa ushindi kwa zaidi ya 95%.Tunapendekeza Rais ajaye awe na haiba kama za mama Samia ili aendeleze ukuaji wa uchumi wa kati.
Anajua kuwa WALIPORA?Wakati wa kipindi cha uchaguzi mwaka jana 2020, siku tatu Rais Samia alikuwa amepumzika nyumbani kwa maana alikuwa na uhakika wa ushindi kwa zaidi ya 95%.
CCM Wengi ni waadilifu kama Rais Samia. Huyu mama Samia anapaswa kuwa role model ya wanawake wachapakazi hapa Tanzania.Wakati wa kipindi cha uchaguzi mwaka jana 2020, siku tatu Rais Samia alikuwa amepumzika nyumbani kwa maana alikuwa na uhakika wa ushindi kwa zaidi ya 95%.
Waambie hao Chadema kuwa siasa za kihuni zimepitwa na muda na sasa wamuombe msamaha mama yetu Rais Samia.CCM Wengi ni waadilifu kama Rais Samia. Huyu mama Samia anapaswa kuwa role model ya wanawake wachapakazi hapa Tanzania.
Ambaye angemsumbua Rais Samia kwenye Uchaguzi wa mwaka jana 2020 labda yule mama Merkel wa ujerumani tu.Waambie hao Chadema kuwa siasa za kihuni zimepitwa na muda na sasa wamuombe msamaha mama yetu Rais Samia.
Rais Samia anafanya kazi kubwa wazo la kumuongezea muda ni wazo zuri sana.Ambaye angemsumbua Rais Samia kwenye Uchaguzi wa mwaka jana 2020 labda yule mama Merkel wa ujerumani tu.
Rais Samia anafanya kazi ya ziada kuhusu ardhi na sasa inarudi kwa Wananchi maana mikoa mingi Wananchi waliteseka sana.Rais Samia anafanya kazi kubwa wazo la kumuongezea muda ni wazo zuri sana.
Waambieni hao chadema kuwa Shauri yao kwa maana Rais Samia ni kiboko yao na anakubalika internationally.Rais Samia anafanya kazi ya ziada kuhusu ardhi na sasa inarudi kwa Wananchi maana mikoa mingi Wananchi waliteseka sana.
Kwa Lugha rahisi ntakupa mfano wa anachokimanisha...Chukulia mfano leo hii Babutale anateuliwa kuwa waziri wa Kilimo au Msukuma anateuliwa waziri wa Afya au kibajaji anapewa wizara ya Fedha..sheria ziko wazi kusudi uwe waziri lazima uwe mbunge kwanza...SWALI LANGU: Ni utaratibu upi mpya utumike katika kupata watendaji bora wa kisiasa mbali na huu wa sasa ambao baadhi ya wakongwe wa tasnia hii (Freeman Mbowe) wanaona kuwa haufai?
Habari zenu ndugu zangu wa jamiiforums.
Jana siku ya Jumatatu May 10, 2021, wakati ninapitia makala kadhaa katika magazeti mbalimbali ya hapa Tanzania (kama ilivyo kawaida yangu kila siku) nikakutana na statement hii fupi ya mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mheshimiwa Freeman Aikael Mbowe alipofanya mahojiano na gazeti la Mwananchi. Mbowe alisema ya kwamba;
“Demokrasia ni nzuri lakini najua ilivyokuwa vigumu kupata watendaji wa kisiasa kwa kupitia kura za jumla. Ndiyo maana nilitaka huo utaratibu ubadilishwe, kwa sababu mtu anaweza tu akashangiliwa kwenye majukwaa akapigiwa kura, lakini hakuna meritocracy (uwezo),”
==========
View attachment 1781350
==========
Mheshimiwa Mbowe alitaka huo utaratibu ubadilishwe. Je ubadilike na uwe upi? Kwa wale ambao mpo karibia na Mheshimiwa huyu mnaweza kumuuliza alikuwa anamaanisha nini? Labda kuna jambo alikuwa anataka kupendekeza ambalo litakuwa na matokeo chanya katika siasa za hapa Tanzania.
Kama wewe ni mtaalam wa sayansi ya siasa (Political Science) unaweza kupambanua Mwenyekiti alikuwa anataka ku-suggest kitu gani kwa manufaa ya Tanzania yetu sote? Au alikuwa anamaanisha tupandishe kiwango cha elimu kutoka kuwa darasa la saba (kujua kusoma na kuandika tu) mpaka kufika kidato cha nne?
Ninaomba kutoa angalizo kwa wale washabiki wa siasa chafu kutoka pande zote (CCM na CHADEMA) kwamba tusimtukane mtu katika suala hili lakini changia kama unajua alichokua anataka ku-recommend mwanasiasa muandamizi wa upinzani.
Je, unafikiri Mwenyekiti Mheshimiwa Freeman yupo sahihi? Kama yupo sahihi, dawa mujarabu ya changamoto hii ya uchaguzi ni ipi?
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Maoni ya wadau;
==========
==========
==========
==========
==========
==========
Babu Tale ni kilaza sana aisee sijui hata CCM waliwaza nini mpaka kumpa shavu kubwa na kuwaacha akina Pascal Mayalla.Kwa Lugha rahisi ntakupa mfano wa anachokimanisha...Chukulia mfano leo hii Babutale anateuliwa kuwa waziri wa Kilimo au Msukuma anateuliwa waziri wa Afya au kibajaji anapewa wizara ya Fedha..sheria ziko wazi kusudi uwe waziri lazima uwe mbunge kwanza...
Rais Samia ni kiboko ya CHADEMA na Lissu wao. Watake wasitake lazima tumpe nafasi tena 2025.Babu Tale ni kilaza sana aisee sijui hata CCM waliwaza nini mpaka kumpa shavu kubwa na kuwaacha akina Pascal Mayalla.
Rais Samia ni mbeba maono Kwa jinsi uchumi wa Tanzania unavyokuwa kwa kasi hadi 2025 tutakuwa tumeipiku south Africa.Rais Samia ni kiboko ya CHADEMA na Lissu wao. Watake wasitake lazima tumpe nafasi tena 2025.
Lissu hakuna kituo hata kimoja aliweza kuwa mbele ya Samia na JPM mwaka uchaguzi wa 2020. Kipigo alichopewa October 2020 kilimfanya awachukie Watanzania wote.Rais Samia ni mbeba maono Kwa jinsi uchumi wa Tanzania unavyokuwa kwa kasi hadi 2025 tutakuwa tumeipiku south Africa.