Freeman Mbowe ndiye mpigania haki maarufu zaidi barani Afrika kwa sasa

Mara inatokea Mbowe anafungwa na anapokuja kutoka anakuwa Raisi kama Chakware na mandera baasa ya kutumikia kifungo kama miaka 30 jela utakuwa ni ushindi mkubwa sana miaka hiyo na CCM itakuwa mwisho kabisa.

Ambapo kwa kadilio la chini atakuwa na miaka 85 kama babu wa taifa.
 
Duh kwahiyo aende jela miaka 30 na akitoka apewe nchi hakika haiwezekani,, na hawezi kuwa the same to Mandela sababu hatafungwa
 
Mbowe ni mpigania haki mkubwa Africa ni kweli level yake ni ya akina Mandela.
 
Hivi mizimu ya hivyo badogo ipo..😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…