Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #141
Soma uzi uelewe vizuri , si juu ya Nyerere tu , hata Mandela na Kwameh Nkrumahmbowe yupo juu ya Nyerere??
Punguza mahaba mkuu,
Hata kama anakulipa mshahara ila sio kwa kumdhalilisha baba wa Taifa namna hii.
Nikadhani unasahihisha kumbe unazidi kuharibu tu.Soma uzi uelewe vizuri , si juu ya Nyerere tu , hata Mandela na Kwameh Nkrumah
Tafiti hupingwa kwa Tafiti mpya
Huna unalojua zaidi ya majina ya akina Nyerere tuNikadhani unasahihisha kumbe unazidi kuharibu tu.
Bila shaka unamuona Mbowe kama mungu wako ndio maana unaona hakuna wa kumfananisha nae hapa duniani.Huna unalojua zaidi ya majina ya akina Nyerere tu
Ulipomtaja Mungu tu nikakudharau kabisa !Bila shaka unamuona Mbowe kama mungu wako ndio maana unaona hakuna wa kumfananisha nae hapa duniani.
Bwana mdogo angalia sana unakoelekea sio kuzuri.
Nimemtaja mungu inaelekea huna uelewa wa mambo mengi.Ulipomtaja Mungu tu nikakudharau kabisa !
hivi kwa elimu ya Tanzania mtu mwenye digrii 2 , mwenye exposure ya Ulaya na America na mfanyabiashara wa Kimataifa Mwenye hela awezaje kukosa uelewa ?Nimemtaja mungu inaelekea huna uelewa wa mambo mengi.
hivi kwa elimu ya Tanzania mtu mwenye digrii 2 , mwenye exposure ya Ulaya na America na mfanyabiashara wa Kimataifa Mwenye hela awezaje kukosa uelewa ?
Bavicha ndio taasisi bora kabisa ya vijana barani Africa kwa sasa
Tulishasema hapa Mbowe ni mgumu sana kwenye siasa kwasababu wazee wa Dar-es-salaam wanamuaona kama mtoto wao. Mbowe anajulikana tokea miaka ya 1980's na wamemuona akikuwa na biashara zake leo hii hawawezi kukuelewa ukimwita majina ya ajabu.
Kwa ufupi wanamjua kuliko viongozi wengine wote wa vyama vyote. Kwasababu hii haohao CCM wa Dar ndiyo watakuwa wakwanza kukuchukia na sio hata upinzani. Siasa zina mipaka na hapa serikali imeruka mipaka yake
Aiseeee !!!Tulishasema kuanzia mwezi wa tisa mwaka jana sasa mwezi wa tatu ndiyo mnatuelewa. Kwa muda huo mahakama imeonekana sasa sio sehemu makini, viongozi wa usalama wameonekana ni machawa na Rais Samia amewekwa kwenye sehemu ngumu zaidi kiasi cha yeye ndiyo kuomba akutane na Mbowe siku ya kwanza!. Mpaka viongozi wa dini tumewapa shida kwa uamuzi mbovu. Tusikilizeni next time
Sasa Baada ya kusoma hapo namba 1 tu nikakudharau , Slaa alitoswa au alinunuliwa ?Tuache utapeli wa siasa kumfananisha mbowe na regends wapigania uhuru Afrika.labda uniambie kuwa mbowe ni mpigania madaraka Tanzania zaidi ya miaka ishirini na kitu bila mafanikio.kama kweli mpigania uhuru na democrasia mbona alifanya haya.
1) kumtosa Dr slaa na wenzake kwenye kiti cha urais aliyesota nao siku zote usiku na mchana na kuingiza mamluki ndani ya chama na kugombea urais
2) mbona alikula matapishi yake aliyohubiri miaka yote ambayo JPM alitekeleza asilimia kubwa ya ilani ya chadema lakini akaishia kumpinga na kusema wanahitaji maendeleo ya watu sio vitu ndo democrasia na uhuru
3) kama kweli mpenda mageuzi na mwanademocrasia mbona alikuwa mkwepa kodi za serikali kwa kutolipa deni alikokuwa anadai na serikali billicanas jengo la NHC
4)Anamwambia mama yetu afate haki je? Yeye ni muumini wa haki? Mbona aliwashurutisha wabunge wa chadema wasusie vikao vya bunge kisa corona angali wabunge wengi hasa ccm wakiwa bungeni bila kujali janga la corona hiyo ndo kupigania uhuru na demicrasia?
5)Nchi ipo kwenye majonzi kwa kufiwa na Rais JPM yeye anafanya matembezi Nchi nzima kumtukana Marehemu na kudai katiba mpya ambayo JK aliwapa wafanye mchakato ila mwishoni wkasusia yeye na wafuasi wake ndo democrasia na kupigania uhuru ivo?
Mpigania uhuru na democrasia wa kweli
1) yeye kwanza anajikana nafsi yake na kutetea wanyonge kwa maneno na vitendo bila kujali gharama za maisha yake huko mbeleni
2) anakuwa kioo kwa jamii kitabia na maadili kufuata sheria na miongozo ya tawala zilizopo na kudai uhuru na democrasia kwa kufata sheria
3)Anakuwa wa kwanza kusimamia shughuli za maendeleo na kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora bila kujali itikadi za chama chake Nchi na wananchi kwanza chama baadae
4)Anakuwa mshauri kwa viongozi wenzi sio kulalamika na kukejeli wenzie na mengine mengi mazuri
Karibu sana .Bangi zingine
Alinunuliwa na nani?.usimdharau kiumbe aliumbwa na Mungu dharau mapungufu yangu na nielimishe nijuwe ukweliSasa Baada ya kusoma hapo namba 1 tu nikakudharau , Slaa alitoswa au alinunuliwa ?
Mbowe atakuwepo mza?noma sana