Freeman Mbowe ndiye mpigania haki maarufu zaidi barani Afrika kwa sasa

mbowe yupo juu ya Nyerere??

Punguza mahaba mkuu,

Hata kama anakulipa mshahara ila sio kwa kumdhalilisha baba wa Taifa namna hii.
Soma uzi uelewe vizuri , si juu ya Nyerere tu , hata Mandela na Kwameh Nkrumah

Tafiti hupingwa kwa Tafiti mpya
 
Huna unalojua zaidi ya majina ya akina Nyerere tu
Bila shaka unamuona Mbowe kama mungu wako ndio maana unaona hakuna wa kumfananisha nae hapa duniani.

Bwana mdogo angalia sana unakoelekea sio kuzuri.
 
Ulipomtaja Mungu tu nikakudharau kabisa !
 
Nimemtaja mungu inaelekea huna uelewa wa mambo mengi.
hivi kwa elimu ya Tanzania mtu mwenye digrii 2 , mwenye exposure ya Ulaya na America na mfanyabiashara wa Kimataifa Mwenye hela awezaje kukosa uelewa ?
 
Tulishasema hapa Mbowe ni mgumu sana kwenye siasa kwasababu wazee wa Dar-es-salaam wanamuaona kama mtoto wao. Mbowe anajulikana tokea miaka ya 1980's na wamemuona akikuwa na biashara zake leo hii hawawezi kukuelewa ukimwita majina ya ajabu.

Kwa ufupi wanamjua kuliko viongozi wengine wote wa vyama vyote. Kwasababu hii haohao CCM wa Dar ndiyo watakuwa wakwanza kukuchukia na sio hata upinzani. Siasa zina mipaka na hapa serikali imeruka mipaka yake

Tulishasema kuanzia mwezi wa tisa mwaka jana sasa mwezi wa tatu ndiyo mnatuelewa. Kwa muda huo mahakama imeonekana sasa sio sehemu makini, viongozi wa usalama wameonekana ni machawa na Rais Samia amewekwa kwenye sehemu ngumu zaidi kiasi cha yeye ndiyo kuomba akutane na Mbowe siku ya kwanza!. Mpaka viongozi wa dini tumewapa shida kwa uamuzi mbovu. Tusikilizeni next time
 
Aiseeee !!!
 
Tuache utapeli wa siasa kumfananisha mbowe na regends wapigania uhuru Afrika.labda uniambie kuwa mbowe ni mpigania madaraka Tanzania zaidi ya miaka ishirini na kitu bila mafanikio.kama kweli mpigania uhuru na democrasia mbona alifanya haya.
1) kumtosa Dr slaa na wenzake kwenye kiti cha urais aliyesota nao siku zote usiku na mchana na kuingiza mamluki ndani ya chama na kugombea urais
2) mbona alikula matapishi yake aliyohubiri miaka yote ambayo JPM alitekeleza asilimia kubwa ya ilani ya chadema lakini akaishia kumpinga na kusema wanahitaji maendeleo ya watu sio vitu ndo democrasia na uhuru
3) kama kweli mpenda mageuzi na mwanademocrasia mbona alikuwa mkwepa kodi za serikali kwa kutolipa deni alikokuwa anadai na serikali billicanas jengo la NHC
4)Anamwambia mama yetu afate haki je? Yeye ni muumini wa haki? Mbona aliwashurutisha wabunge wa chadema wasusie vikao vya bunge kisa corona angali wabunge wengi hasa ccm wakiwa bungeni bila kujali janga la corona hiyo ndo kupigania uhuru na demicrasia?
5)Nchi ipo kwenye majonzi kwa kufiwa na Rais JPM yeye anafanya matembezi Nchi nzima kumtukana Marehemu na kudai katiba mpya ambayo JK aliwapa wafanye mchakato ila mwishoni wkasusia yeye na wafuasi wake ndo democrasia na kupigania uhuru ivo?
Mpigania uhuru na democrasia wa kweli
1) yeye kwanza anajikana nafsi yake na kutetea wanyonge kwa maneno na vitendo bila kujali gharama za maisha yake huko mbeleni
2) anakuwa kioo kwa jamii kitabia na maadili kufuata sheria na miongozo ya tawala zilizopo na kudai uhuru na democrasia kwa kufata sheria
3)Anakuwa wa kwanza kusimamia shughuli za maendeleo na kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora bila kujali itikadi za chama chake Nchi na wananchi kwanza chama baadae
4)Anakuwa mshauri kwa viongozi wenzi sio kulalamika na kukejeli wenzie na mengine mengi mazuri
 
Sasa Baada ya kusoma hapo namba 1 tu nikakudharau , Slaa alitoswa au alinunuliwa ?
 
Back
Top Bottom