Freeman Mbowe ni zaidi ya Dikteta

Huyo faru John, hovyo kabisa. Ila kajikamatia nyumbu zake wa kutosha wenye kumpigia mapambio ya sifa usiku na mchana.
 
Hebu tutolee ungese wako wa lumumba..
Mbona lile zwazwa lenu li plofesa Lupumbu unajifany hulijui kama lipo milrle Kafu🐖🐖wewe
 

Magufuli amemuacha … kwa kutaka ama?

Sasa hivi gentleman Mbowe si habari na CHADEMA iko mapumzikoni.

Mambo ya CCM yamalizwe huko huko CCM. Habari ya town hivi sasa ni mlinganyo kati ya Mama na Hayati Mwendazake. Mbowe tuko naye kwenye benchi la watazamaji.
 

Kwa hiyo Magufuli kuondoka kwa demokrasia ndani ya CCM? Au unataka kuhalalisha CCM kuzuia demokrasia nchini?
 
Hali halisi mnaiona na mnashuhudia kuwa huyu mwenyekiti wetu ni mtu wa kujali biashara zake na sio chama chetu.

Mbaya zaidi amefanya chaka mali yake na hili ni kosa kubwa sana.

Sasa hivi anatambua kuwa hatuko vizuri kisiasa lakini amejificha Dubai.

Tupambane makamanda, tumuondoe madarakani, tupate mwenyekiti ambae atakuwa na nia njema na chama chetu. Sio kutugeuza sisi ndondocha.

La sivyo tutaambulia patupu.
 
Ukipewa wewe uenyekiti, utafanya mambo gani?
 
Hamia kwa lipumba au kwa zito hao ndio wanafiki wanakutosha tuache na dikteta wetu mwamba mbowe!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…