Freeman Mbowe ni zaidi ya Dikteta

Freeman Mbowe ni zaidi ya Dikteta

CCM Imebadilisha wenyeviti wanne wa Chama na bado Chama kiko imara sasa huyu dikteta Mbowe yeye ameking'ang'ania Chama kimekuwa kama kampuni binafsi ya Chadema

Mkapa aliondoka akamuacha, Kikwete alimuacha na Magufuli amemuacha

kwa sasa na Mama Samia atamuacha huyu ni dikteta kamili kabisa
Huyo faru John, hovyo kabisa. Ila kajikamatia nyumbu zake wa kutosha wenye kumpigia mapambio ya sifa usiku na mchana.
 
CCM Imebadilisha wenyeviti wanne wa Chama na bado Chama kiko imara sasa huyu dikteta Mbowe yeye ameking'ang'ania Chama kimekuwa kama kampuni binafsi ya Chadema

Mkapa aliondoka akamuacha, Kikwete alimuacha na Magufuli amemuacha

kwa sasa na Mama Samia atamuacha huyu ni dikteta kamili kabisa
Hebu tutolee ungese wako wa lumumba..
Mbona lile zwazwa lenu li plofesa Lupumbu unajifany hulijui kama lipo milrle Kafu🐖🐖wewe
 
CCM Imebadilisha wenyeviti wanne wa Chama na bado Chama kiko imara sasa huyu dikteta Mbowe yeye ameking'ang'ania Chama kimekuwa kama kampuni binafsi ya Chadema

Mkapa aliondoka akamuacha, Kikwete alimuacha na Magufuli amemuacha

kwa sasa na Mama Samia atamuacha huyu ni dikteta kamili kabisa

Magufuli amemuacha … kwa kutaka ama?

Sasa hivi gentleman Mbowe si habari na CHADEMA iko mapumzikoni.

Mambo ya CCM yamalizwe huko huko CCM. Habari ya town hivi sasa ni mlinganyo kati ya Mama na Hayati Mwendazake. Mbowe tuko naye kwenye benchi la watazamaji.
 
Halafu vyama vya siasa vya nchi hii ndio vinaua dhana ya demokrasia. Halafu unashangaa hawa viongozi wa maisha wa vyama wanakua na ujasiri wa kuhoji kwa nini CCM inang'ang'ania madarakani.

Mbowe Chairman miaka 17, Lipumba 26, Zitto 7, Mbatia 25, Mrema over 20 years.

Vyama vya siasa vionyeshe demokrasia ya kweli kama kweli wanataka demokrasia nchini.

Kwa hiyo Magufuli kuondoka kwa demokrasia ndani ya CCM? Au unataka kuhalalisha CCM kuzuia demokrasia nchini?
 
Hali halisi mnaiona na mnashuhudia kuwa huyu mwenyekiti wetu ni mtu wa kujali biashara zake na sio chama chetu.

Mbaya zaidi amefanya chaka mali yake na hili ni kosa kubwa sana.

Sasa hivi anatambua kuwa hatuko vizuri kisiasa lakini amejificha Dubai.

Tupambane makamanda, tumuondoe madarakani, tupate mwenyekiti ambae atakuwa na nia njema na chama chetu. Sio kutugeuza sisi ndondocha.

La sivyo tutaambulia patupu.
 
Ukipewa wewe uenyekiti, utafanya mambo gani?
 
Hamia kwa lipumba au kwa zito hao ndio wanafiki wanakutosha tuache na dikteta wetu mwamba mbowe!!!
 
Back
Top Bottom