Freeman Mbowe ni zaidi ya Dikteta

Au John Heche..sema pesa na umri bado
 
Akifa na chama kinakufa?
Kifo ni hoja nyingine of course hao chadema wana machinery yao, in case ikitokea watajua cha kufanya wao kama wao. Ingawa mi c mshabiki wa vyama niliangalia kwa undani suala la Mwambe kupigiwa chapuo na wana CCM kua anafaa kuchukua nafas ya Mbowe halaf alipokuja kuunga mkono juhudi 🤣🤣🤣🤣 nikashawishika ni bora abaki aliepo mpaka apatikane asie na bei kama Mbowe.
 
Kwani msajili wa vyama vya siasa hakuipitia katiba ya CHADEMA kabla ya kukisajili chama?
Hawa watu nadhan wana agenda yao juu ya pandikizi lao pale cdm, imagine issue ya Mwambe walimpigia chapuo kua anafaa kuchukua nafas ya Mbowe. Angalia Mwambe baada ya hapo alienda wapi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ccm kupigia chapuo akae flani haishangazi maana hiyo ni sehemu ya kazi yao kama chama pinzani.

Lakini kusema akae tu Mbowe maana hanunuliki hii hoja ni ya kijinga kwa chama kama Chadema ndio tunahoji Mbowe akifa ina maana chadema nayo inakufa?
 
Kwa Africa akitoka museven anafata mbowe. Hivi kabla ya mbowe walikiwa wanabadirishana?
 
Na Haondoki... Mlimpiga pini mkakamata mpaka akaunti zake ili apige magoti akagoma...hawa ndio watu tunaowataka nchi hii sio wanafiki wanaochumia matumbo tu!
 
Mkuu, Mbowe mimi namheshimu sana yule jamaa ni mwamba alafu mstaarabu sana huwezi kukuta anaropoka hovyo.

Ila shida moja ya vyama vingi vya upinzani kwa Afrika hii ni hilo la kutegemea mtu badala ya taasisi. Yani mtu anakuwa na nguvu kuliko chama,. Hebu angalia kama Seif na CUF na baadae ACT kule Zanzibar!

Hili tatizo lipo afrika nzima, angalia hapo Kenya na Uganda.

Uganda alikuwepo Besigye sijui yuko wapi na chama chake badala yake ameibuka yule mvuta bangi bob wine.

Mbowe ni jembe ila sasa chadema inapaswa kujitegemea kama taasisi kwamba akiondoka Mbowe anakuja mwingine kama Mbowe tena.
 
Mkuu umeongea vyema sana,ndio maana hata Mimi mwanzoni nilianza kwa kusema ingawa mie ni mwana CCM lakini Jamaa amejitahidi.
Waafrika napo kwenye kuacha taasisi iwe imara ndipo yalipo majanga yetu,usishangae akichomoka na CDM nayo inakufa.
 
Ccm kupigia chapuo akae flani haishangazi maana hiyo ni sehemu ya kazi yao kama chama pinzani.

Lakini kusema akae tu Mbowe maana hanunuliki hii hoja ni ya kijinga kwa chama kama Chadema ndio tunahoji Mbowe akifa ina maana chadema nayo inakufa?
Elewa nilichosema, CDM wana machinery yao ya kuandaa viongozi kama ilivyo kwa CCM na vyama vingine in case suala la kifo wao kama chama kikuu cha upinzani wataamua nan ashike kijiti cha uenyekiti. Na sio kupenyeza mamluki, even CCM hawawez kukubali kupenyezewa mamluki tena watakushughulikia kikamilifu🤣🤣
Ccm kupigia chapuo akae flani haishangazi maana hiyo ni sehemu ya kazi yao kama chama pinzani.

Lakini kusema akae tu Mbowe maana hanunuliki hii hoja ni ya kijinga kwa chama kama Chadema ndio tunahoji Mbowe akifa ina maana chadema nayo inakufa?
 
Na mulibomoa Billicanas, mkaharibu mashamba yake, mkaleta mapandikizi, mkaleta chawa, mkanunua watu, mkazuia mikutano mkamzushia kesi, mkamuhukumu kwa makosa yenu na mengi mengine, lakini wapi.
Sasa mmebaki kulialia tu kama mbwa mwitu siku ya mwezi mkubwa.
Mbowe yupo imara kwa mujibu wa katiba ya chama chake
 
Kwanini sasa hizi Machinery zisilete hao watu sasa hivi? Ukiona mpaka ccm wanaweka mamluki wagombee na Mbowe ujue ndani ya chadema hakuna wa kushindana na Mbowe.
 
Kwanini sasa hizi Machinery zisilete hao watu sasa hivi? Ukiona mpaka ccm wanaweka mamluki wagombee na Mbowe ujue ndani ya chadema hakuna wa kushindana na Mbowe.
Shetani anasaidia kuokoa? Ndugu kwani watokea wapi? yaonekana ni kuzimu.
 
Porojo hizo hata watoto wa chekechea watazimia kwa kukucheka. Zimechina man.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…