Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Nimeacha kuwaamini wanasiasa kutokana na kauli hizi na matendo haya. Naona Mbowe anafurahia kuwa kiongozi wa upinzani katika taifa la wadanganywa nyika (watanganyika). Maana ni rahisi kuongea lolote na wadanganywa nyika wakamuamini. Ukute baada ya kuongea hivi, kaampigia mama simu akwambia "mama tafadhali usinielewe vibaya, hii ni katika hali ya kutuliza mizuka ya misukule yangu". Mama nae: "haya sawa mdogo wang, najua hii ndio siasa"