Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Nimeacha kuwaamini wanasiasa kutokana na kauli hizi na matendo haya. Naona Mbowe anafurahia kuwa kiongozi wa upinzani katika taifa la wadanganywa nyika (watanganyika). Maana ni rahisi kuongea lolote na wadanganywa nyika wakamuamini. Ukute baada ya kuongea hivi, kaampigia mama simu akwambia "mama tafadhali usinielewe vibaya, hii ni katika hali ya kutuliza mizuka ya misukule yangu". Mama nae: "haya sawa mdogo wang, najua hii ndio siasa"
Sasa wale wanaomshukuru mama je? Si kwamba yeye ndiyo kakutoa?
Ugumu wa siasa hizi ni kwakuwa dola nayo inaingizwa kwenye siasa wakipewa jukumu akina zeroSiasa za Tanzania ngumu sana asee
Mawazo mengine huenda yanaathiriwa na jina, ninavyojua yupo mdudu anaitwa dumuzi huyu ni mharibufu kama alivyo kiwavi/viwavi Sasa huu ni ushauri wa Bure ukiweza libadili kutika dudumizu. Nikotayari kwa ridhaa yako kukupapendekezo.Nimeacha kuwaamini wanasiasa kutokana na kauli hizi na matendo haya. Naona Mbowe anafurahia kuwa kiongozi wa upinzani katika taifa la wadanganywa nyika (watanganyika). Maana ni rahisi kuongea lolote na wadanganywa nyika wakamuamini. Ukute baada ya kuongea hivi, kaampigia mama simu akwambia "mama tafadhali usinielewe vibaya, hii ni katika hali ya kutuliza hali ya mizuka na misukule ysngu".
View attachment 2140835
View attachment 2140836
We bwana una tatizo la uelewa? Kule alialikwa. Ukialikwa na Rais, hata ukiwa na hekima ndogo kiasi ganihuwezi kukaidi.kwa iyo kule ikulu ulipoenda, ndio umeenda kuishukuru nguvu ya umma? Nguvu ya uma ipo ikulu?
.....kachoka!Tumia akili basi.
Hii Tafsiri ya Neno "MSAMAHA" Hamlitendei Haqi! [emoji45]Kuwasamehe tu wanasiasa ni kuwakosea pia hata wale ambao sio wanasiasa na wapo magereza bila kuwa na hiyo nguvu ya umma anayosema Mbowe.
Inashangaza kuona baadhi ya vijana mmeuza utu wenu kwa sababu ya njaa zenu.. we endelea kuwa miongoni mwa wasafisha choo wa Mbowe.Mawazo mengine huenda yanaathiriwa na jina, ninavyojua yupo mdudu anaitwa dumuzi huyu ni mharibufu kama alivyo kiwavi/viwavi Sasa huu ni ushauri wa Bure ukiweza libadili kutika dudumizu. Nikotayari kwa ridhaa yako kukupapendekezo.
Jina basi hata Panzi,jongoo, kipepeo kama hujaridhika na mojawapo nitaingeza mengineInashangaza kuona baadhi ya vijana mmeuza utu wenu kwa sababu ya njaa zenu.. we endelea kuwa miongoni mwa wasafisha choo wa Mbowe.
Umma una nguvu tangu lini? Hata kuandamana wanaogopa.
Kama umma unaogopa polisi umma hauna nguvu, yenye nguvu ni serikali.Kwa akili yako nguvu ya umma ni mpaka kuandamana, na kuwapa ujiko policcm wa kuwapiga watu hovyo mtaani siyo!
Kazi iliyofanyika kwenye mitandao unadhani ilikuwa ndogo eeeh!
Usipoenda katika ofisi za chama kuonesha ulichokuwa unaandika basi utasahaulika kweli. Wenzako hii ndio ajira yao. Kila wanapotoa thread ya kuiponda serikali au kusifia upinzani hulipwa kulingana na muitikio wa thread husika, kuna wengine huwa wanatumiwa mpaka data za kuandika upupu humu jukwaani. Sasa wewe bendera fuata upepo kalaga baho.Mwenyekiti anatakiwa asitusahau na sisi kwenye mitandao ya kijamii;kimahususi jamiiforums ,ambao tulitumia kama Platform kupaza sauti zetu,baada ya media zingine;magazeti na TV kuhodhiwa na pro-serikali ya CCM!
Fala weweHuyu jamaa ni zero brain,ndo maana alipata zero kwenye mtihani wa kidato Cha sita,na Wala asitake kuudanganya umma kuwa eti nguvu ya umma imemtoa kutokana na kupendwa kwake,huyu Ni muuongo mkubwa,watanzania wapi hao wanaompenda ikiwa huku niliko wakazi wake wote wanawaza CCM tu.
Aache Mara moja kuupotosha umma,auambie umma pamoja na wafusi wake kuwa isingekuwa huruma na busara za mama Samia angekufia jela!!
Na asichokijua wanachokitapika watu mitandaoni ni halisi na siku ikifika kuwa wamechoshwa na ujinga, uonevu na manyanyaso wataamua kuwafuata wahuni wote kwenye mapango waliyojificha na kuwanyofoa mmoja baada ya meingine na kuwakusanya pamoja huku wakiwaza adhabu wanayostahiki Ushauri was Bure msijitoe akili kwa kiwango hicho. 🤔Kwa akili yako nguvu ya umma ni mpaka kuandamana, na kuwapa ujiko policcm wa kuwapiga watu hovyo mtaani siyo!
Kazi iliyofanyika kwenye mitandao unadhani ilikuwa ndogo eeeh!
Hizo ni chuki binafsi Kwa mwamba na mafanikio yake🤔F
Fala wewe
Nakuona member wa SukumaGang ,kiroboto katika ubora wako.Naamini hata "Wahuni" hawapo na wewe😂😂😂Usipoenda katika ofisi za chama kuonesha ulichokuwa unaandika basi utasahaulika kweli. Wenzako hii ndio ajira yao. Kila wanapotoa thread ya kuiponda serikali au kusifia upinzani hulipwa kulingana na muitikio wa thread husika, kuna wengine huwa wanatumiwa mpaka data za kuandika upupu humu jukwaani. Sasa wewe bendera fuata upepo kalaga baho.
Usiwafsnanishe wengine na zile b7 za mtaa wakijani Tena ukome walarushua nyie, Tena mnatafuna makusanyo ya mlalahoi⛹️Usipoenda katika ofisi za chama kuonesha ulichokuwa unaandika basi utasahaulika kweli. Wenzako hii ndio ajira yao. Kila wanapotoa thread ya kuiponda serikali au kusifia upinzani hulipwa kulingana na muitikio wa thread husika, kuna wengine huwa wanatumiwa mpaka data za kuandika upupu humu jukwaani. Sasa wewe bendera fuata upepo kalaga baho.
Yupo peke yake wenzie wanemtelekeza porini🤪N
Nakuona member wa SukumaGang ,kiroboto katika ubora wako.Naamini hata "Wahuni" hawapo na wewe😂😂😂