Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
- Thread starter
-
- #41
Kweli kabisa.Mwenyekiti anatakiwa asitusahau na sisi kwenye mitandao ya kijamii;kimahususi jamiiforums ,ambao tulitumia kama Platform kupaza sauti zetu,baada ya media zingine;magazeti na TV kuhodhiwa na pro-serikali ya CCM!
Tulia wewe umejoin jana tu hujui loloteSiasa za Tanzania ngumu sana asee
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] house girl wa Chongoro,,,utampenda MboweHuyu jamaa ni zero brain,ndo maana alipata zero kwenye mtihani wa kidato Cha sita,na Wala asitake kuudanganya umma kuwa eti nguvu ya umma imemtoa kutokana na kupendwa kwake,huyu Ni muuongo mkubwa,watanzania wapi hao wanaompenda ikiwa huku niliko wakazi wake wote wanawaza CCM tu.
Aache Mara moja kuupotosha umma,auambie umma pamoja na wafusi wake kuwa isingekuwa huruma na busara za mama Samia angekufia jela!!
Ohooo... haa subirini sasa, kumbuka aliitwa ikulu toka magerezani ata kukoga alikuwa hajakoga na ana mavumbi vumbi ya jela, chadema imebaki jina tu wakubwa chama washakitia mifukoni zamaniSikutolewa gerezani kwasababu kuna mtu ananipenda, nimetolewa gerezani kwasababu nguvu ya umma ilikuwa imezidi sana
Kama umma unaogopa polisi umma hauna nguvu, yenye nguvu ni serikali.
"When government fears the people, there is liberty. When the people fear the government, there is tyranny." - Thomas Jefferson
Kanywe maviHuyu jamaa ni zero brain,ndo maana alipata zero kwenye mtihani wa kidato Cha sita,na Wala asitake kuudanganya umma kuwa eti nguvu ya umma imemtoa kutokana na kupendwa kwake,huyu Ni muuongo mkubwa,watanzania wapi hao wanaompenda ikiwa huku niliko wakazi wake wote wanawaza CCM tu.
Aache Mara moja kuupotosha umma,auambie umma pamoja na wafusi wake kuwa isingekuwa huruma na busara za mama Samia angekufia jela!!
Hivi katika suala la Mbowe unaisifu CCM kwa lipi labda? Nimesoma andiko lile la trick za CCM nimebaki nashangaa tu japo ni maoni binafsi lakini yanapotolewa na mtu tunayemheshimu humu JF unajiuliza mwenzetu kapatwa na nini?Hakuna anayepinga hilo, hata CCM wanaojielewa walikuwa upande wa haki kwenye issue ya Mbowe ndio maana pressure ikazidi kwa mamlaka.
Laiti kama moto ule wangeuelekeza kwenye Katiba Mpya leo tungekuwa na Tanzania mpya kabisa isiyo na matabaka ya aina yoyote huku wote tukiwa kitu kimoja kwenye taifa moja.
Sasa asubiriwe Mbowe na viongozi wa chama chake waje kuongea na waandishi wa habari na watz kwa ujumla kama alivyosema juzi, yeye ndie atatoa "a way forward" juu ya nini kinafuata kwenye harakati za kudai haki.
Sio kuokoteza maneno ya mitaani Mbowe amejisalimisha kwa watawala, wengine eti CCM wanajua michezo ya siasa, wangeijua hiyo michezo wasingeiba kura kila uchaguzi mkuu unapofika, wamezeeka hakuna wanachojua.
Wewe unasema hakuna nguvu ya umma halafu unasema ana wafuasi, hivi wengine vichwa mnamiliki vya kazi gani?Huyu jamaa ni zero brain,ndo maana alipata zero kwenye mtihani wa kidato Cha sita,na Wala asitake kuudanganya umma kuwa eti nguvu ya umma imemtoa kutokana na kupendwa kwake,huyu Ni muuongo mkubwa,watanzania wapi hao wanaompenda ikiwa huku niliko wakazi wake wote wanawaza CCM tu.
Aache Mara moja kuupotosha umma,auambie umma pamoja na wafusi wake kuwa isingekuwa huruma na busara za mama Samia angekufia jela!!
Kuna mtu mwenye kujitambua umesikia anasema Mbowe asamehewe? Mtu anasamehewa bila kosa? Mnalazimisha ionekane Mbowe ana hatia lakini imeshindikana.Wanafanya kweli makosa ila wanatumia mwamvuli wa kisiasa kupata huruma kama hivi.
We chukulia mfano tu wa kesi hii ya Mbowe angekua mwananchi wa kawaida.
Kuna ambaye angeliga kelele asamehewe??
Au baada ya kusamehewa aitwe ikulu??
Hawa wanasiasa wanajua kucheza tu na akili za wafuasi wao ila kimsingi sio watu safi sana kama tunavyofikiri.
Sasa wale wanaomshukuru mama je? Si kwamba yeye ndiyo kakutoa?
Hakuna anayepinga hilo, hata CCM wanaojielewa walikuwa upande wa haki kwenye issue ya Mbowe ndio maana pressure ikazidi kwa mamlaka.
Laiti kama moto ule wangeuelekeza kwenye Katiba Mpya leo tungekuwa na Tanzania mpya kabisa isiyo na matabaka ya aina yoyote huku wote tukiwa kitu kimoja kwenye taifa moja.
Sasa asubiriwe Mbowe na viongozi wa chama chake waje kuongea na waandishi wa habari na watz kwa ujumla kama alivyosema juzi, yeye ndie atatoa "a way forward" juu ya nini kinafuata kwenye harakati za kudai haki.
Sio kuokoteza maneno ya mitaani Mbowe amejisalimisha kwa watawala, wengine eti CCM wanajua michezo ya siasa, wangeijua hiyo michezo wasingeiba kura kila uchaguzi mkuu unapofika, wamezeeka hakuna wanachojua.
Ndugu, kwani wewe uko mtaa gani?huyu Ni muuongo mkubwa,watanzania wapi hao wanaompenda ikiwa huku niliko wakazi wake wote wanawaza CCM tu.