Sasa pamoja na unyama ule uliotendwa kulikuwa na haja gani ya mama kujitangaza kwamba yeye ni sehemu ya unyama ule , hawa watu walipofikia kwenye nchi hii haiwezekani tena kuwabembeleza , tuzungumze bila kumung'unya maneno
Mama hajasema yy ni sehemu ya unyama.
Ukimtafakari ktk hotuba yake yuko na magu katika
1. Kuhakikisha watu wanafanya kazi kwa bidii na weledi
2. Ulinzi wa rasilimali zetu
3. Wizi na ufisadi
4. Kuendeleza miradi ya mkakati aliyoiacha
To mention few
Yaani zile positive thoughts of him
Lakini kuboresha yale ambayo hayakuleta afya katika mustakabali wa taifa
1. Demokrasia
2. Uhuru wa habari
3. Maslahi kwa watumishi
4. Mahakama kuhukumu kwa haki
5. Mihimili kujikita kwenye shughuli zao kwa mipaka yao
6. Ruhusa ya kuikosoa serikali
7. Kurudisha mahusiano ya kimataifa
To mention few
So mama kimsingi hawezi fanana na mtangulizi wake katika angle yyte. Ni watu wawili tofauti
Wote tunajua mtangulizi wake nini aliyoyafanya. Na 90% ya watanzania waliyaishi maumivu hayo including Mama. Yuko kwenye transition period, kama sisi tu, she needs time
Na amenza vizuri tunaona. Watu wako huru kutoa maumivu yao including Mbowe mwenyewe. Kifupi tumepumuaa.
Mbowe awe mvumilivu, aweke hoja zake mezani siku watatapoitwa. After that anaweza kusema. Kwa sasa ni mapema mnooo
Mama ameelewekaa