Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,200
- 12,762
Kwani kuna mkataba kati ya mfu na mtu aliye hai siku hizi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aibu bado ni kwenu tu, wajinga mnataka Mbowe na CHADEMA, wademkie ngoma yenu?! Nyie imbeni sifa na kuabudu huko, ni haki yenu kama ilivyo haki ya Mbowe kukosoa!Hivi mbona sielewei, tatizo ni Mbowe au Chadema? kama siyo bangi basi akili, hivi hiki chama kwanini kinapenda siasa nyepesi nyepesi ndiyo maana wote kuanzia yule wa Ubeligiji walianza kunfanya na kudhani Mama kama Bawacha.
Naona kama aibu tunapata wote sasa.
Mkuu! Sasa hivi Mambo ni burdani! Yani ccm mbele kwa mbele,Afe dhalimu tusishangilie kivipi? Ulitaka tupiganie kipi?
KweliHiyo kauli inawafariji maccm
Rais samia hawezi kuwa na tabia za kibedhuli kama yule JiZi la kura
Anaeteseka mbona ni wewe mkuu?
Hivi tatizo ni JPM au Ccm?Hata mimi nilitarajia Mbowe amsome Mama katikati ya mistari, aone mkakati unaochezwa, asiwe na papara ya kuchapisha maoni hadi wapinzani watakapopata fursa ya kukutana ana kwa ana na Rais.
Certainly, SSH hawezi kuwa kama JPM. Lakini kuna kazi ngumu ya kuondosha sumu iliyokwishasambazwa katika uongozi na jamii kwa ujumla.
Mbowe lazima akaze! Kwani kukitangazwa kutakuwepo mechi na ni ya kirafiki, ndo timu ilale! Mbowe is playing, kama Mazaa alivyo play! Angepongeza mataga wa humu wangeanza, ohoo kamiss chai ya ikulu! Na pia Mazaa lazima wampige pini afanye maamuzi magumu, Kwanini wamlegezee kwa mfano!Hata mimi nilitarajia Mbowe amsome Mama katikati ya mistari, aone mkakati unaochezwa, asiwe na papara ya kuchapisha maoni hadi wapinzani watakapopata fursa ya kukutana ana kwa ana na Rais.
Certainly, SSH hawezi kuwa kama JPM. Lakini kuna kazi ngumu ya kuondosha sumu iliyokwishasambazwa katika uongozi na jamii kwa ujumla.
VNaona Bavicha wameshangilia sana kusikia rais Samia amepanga kukutana na viongozi wa kisiasa nchini bila kujua kuwa hata hayati rais Magufuli alikutana na viongozi wa kisiasa akina Seif, Lipumba ,Mbatia ,Nk.
Lakini hata rais Samia akikutana nao anataka wajadili jinsi ya kufanya siasa zenye tija kwa nchi.
Maana yake baada ya kukutana hatutarajii kuwaona akina Lisu wakiponda Atcl, Sgr, bwawa la Nyerere kuwa ni miradi ya hovyo badala yake wataanza kusema hiyo ni miradi ya watanzania.
Lakini kwa akili zao wanahisi mama ataenda kuwaruhusu kufanya maandamano kila siku.!!!
Sasa Mkuu ikiwa Mama anasema anafuata nyayo za Magufuli aliyekimbiza wawekezaji lakini wakati huohuo anataka kurudisha imani ya wawekezaje wewe unaelewa nini ?
Tatizo la ccm ni la muda mrefu, Lakini kwa miaka 6 limejengwa tatizo jipya la ccm mpya! Tatizo la ccm mpya, linataka kazi nzito kwa hii miaka minne, ambayo Mazaa anasema mitano! Tukicheza fresh kwa hii miaka, tutajiweka kwenye nafasi nzuri ya kukabiliana na tatizo kongwe la ccm!Hivi tatizo ni JPM au Ccm?
Hivi tatizo ni JPM au Ccm?
Syo sms ya mbowe, mbowe hana tabia ya kike ya kujibizana kwenye mitandao
Hii syo taarufa ya mbowe, mbowe ana busara kuliko viongozi woooote wa vyama vya siasaHuyu Dj anajua kuwa na yeye ni dikteta au kwa vile Chadema hawamwambii ukweli? sifa moja ya madictator kung'ang'ania madarakani
Sitaki kuamini kama Chadema wote hawana akili mwenye akili ni Mbowe tu lakini kumbukeni Mbowe ni Binadamu kuna siku atakuwa hayupo leo JPM hayupo lakini CCM ipo na inapata mwenyekiti mwingine kwa amani kabisa kila mtu akitabasamu kwa maana utaratibu ulishatengenezwa siku Mbowe akiondoka tutashuhudia ugomvi na kugombea madaraka ndani ya Chadema .
Syo mbowe, huwa mbowe hana tabia ya kujibu mtandaoni..Mbowe anatakiwa kuuma na kupuliza.
..kwa maoni haya naona kama ameuma bila kupuliza.
..Kuna wana-ccm ambao wanapinga azma ya Rais Samia Suluhu kuboresha mazingira ya kisiasa nchini.
..Ni vizuri Mh.Mbowe na viongozi wa CDM wasizungumze kwa namna ambayo inamvunja moyo Rais Samia ktk kuleta maridhiano ya kisiasa nchini.
..Kwa kifupi sijayapenda maoni ya Mh.Mbowe.
kwani kamjibu nani ? haya si ni maoni tu ?Syo mbowe, huwa mbowe hana tabia ya kujibu mtandaoni