Tuwe wakweli.Ni afadhali hata Mama anakubali kukaa meza moja.Je,Hao wapinzani wangekua na tumaini lolote la kukutana na mwendazake ingekua yupo hai??Jibu Ni Hapana.Mimi naona kusema so wa kuwabembeleza Ni uongo maana angekuaepo Yule hata kubembeleza kwenyewe mngeogopa.Kikubwa busara itumike kwa pande zote.Na uzuri Mama ashaonesha njia hiyoSasa pamoja na unyama ule uliotendwa kulikuwa na haja gani ya mama kujitangaza kwamba yeye ni sehemu ya unyama ule , hawa watu walipofikia kwenye nchi hii haiwezekani tena kuwabembeleza , tuzungumze bila kumung'unya maneno
Mama hajasema yy ni sehemu ya unyama.Sasa pamoja na unyama ule uliotendwa kulikuwa na haja gani ya mama kujitangaza kwamba yeye ni sehemu ya unyama ule , hawa watu walipofikia kwenye nchi hii haiwezekani tena kuwabembeleza , tuzungumze bila kumung'unya maneno
Kwani kuna mkataba kati ya mfu na mtu aliye hai siku hizi?
Hahahahaha hv mnaifikiria chadema baada ya mwenye busara kuondoka? Kuondoka kwa JPM iwe case study kwenye siasa zetu kwa kila upande tujenge taasisi imara si watu imara kwa maana watu ni Binadamu na Binadamu kwa udongo tutarudi .Hii syo taarufa ya mbowe, mbowe ana busara kuliko viongozi woooote wa vyama vya siasa
Kitu ambacho hakiwezekanikwaiyo nyie mbumbumbu mlitaka aseme hadharani kwamba haungi mkono aliyokua akiyafanya magufuli?
Jikite kwenye hoja!Huyu Dj anajua kuwa na yeye ni dikteta au kwa vile Chadema hawamwambii ukweli? sifa moja ya madictator kung'ang'ania madarakani
Sitaki kuamini kama Chadema wote hawana akili mwenye akili ni Mbowe tu lakini kumbukeni Mbowe ni Binadamu kuna siku atakuwa hayupo leo JPM hayupo lakini CCM ipo na inapata mwenyekiti mwingine kwa amani kabisa kila mtu akitabasamu kwa maana utaratibu ulishatengenezwa siku Mbowe akiondoka tutashuhudia ugomvi na kugombea madaraka ndani ya Chadema .
HahahaWalikua wana taka wamvishe kofia ya CDM
Hizi propaganda za ATCL kupata faida ni kama zile za kuongea na viongozi wa upinzani.Mlevi mbowe kadungwa machanjo ya mabeberu kawehuka.
Which then leads to the fact that you (opposition parties) have four years to refine your agenda and prepare to work for the people.
Alitaka wachambue palpable. Mbona hujahoji kwann Chizi musiba yupo kimya sana??. Au uanaharakati umeishaKwa akili yako timamu amehoji nini cha maana?
Which then leads to the fact that you (opposition parties) have four years to refine your agenda and prepare to work for the people.
It is rather astonishing, for the opposition to think that there would be substantive changes through Samia!
Take the four years to be a transition period for CCM. Come 2025, you should be ready to face whatever comes out of it.
Do not become cry babies for heavens sake!
Umesema ukweli mtupu suluhu kafanya suluhu na ccm kwenda mbele itakuwa kazi kubwa kikubwa angejitoa kwa ajili ya watanzania wote lakini nimeona hutuba yake imeegemea kutatua chama chao ndiomaana ametusahau sisi wavuvi kata yakalya ziwa tanganyika kwa madhila tuliofanyiwa
Kumsaliti vipi tena?!!kwani hadi sasa ameshamsaliti sana tu, kitendo cha kuruhusu uhuru wa habari, kwa sasa vyombo vya habari angalau vinapumua, kuwaambia TRA, waache kutumia maguvu , badala watumie akili, DPP, kuacha kubambika kesi kwa watu, kuruhusu hiyo ripoti ya CAG, kuweka wazi madudu ya serikali yake, kuwaambia wabunge wafanye kazi yao kwa kuikosoa serikali inapobidi, kufufungua account iliyokuwa imezuiwa ya hizo NGO'S!!na msumali wa mwisho, japo kusema hakuna maendeleo bila kuwa demokrasi, na atakutana na vyama vya upinzani.Yaani kwa meko hivi vitu vilikuwa ni haramu kabisa, hadi hapa mama ameshamsaliti pakubwa sana.Halafu mataga yasivyofikiria anaposema kuwa nitayaendeleza yote ya meko yanashangilia , wao wanawaza kuwa ni kwa approach zile zile, za KI BANDIDU!!Naona Bavicha wameshangilia sana kusikia rais Samia amepanga kukutana na viongozi wa kisiasa nchini bila kujua kuwa hata hayati rais Magufuli alikutana na viongozi wa kisiasa akina Seif, Lipumba ,Mbatia ,Nk.
Lakini hata rais Samia akikutana nao anataka wajadili jinsi ya kufanya siasa zenye tija kwa nchi.
Maana yake baada ya kukutana hatutarajii kuwaona akina Lisu wakiponda Atcl, Sgr, bwawa la Nyerere kuwa ni miradi ya hovyo badala yake wataanza kusema hiyo ni miradi ya watanzania.
Lakini kwa akili zao wanahisi mama ataenda kuwaruhusu kufanya maandamano kila siku.!!!
Na babu/baba yako ndiye anapaswa kutukanwa kwa sababu yeye ndiye aliyeshindwa kutafuta mali ili wewe leo usiwe maskini!Nyerere ndio anatakiwa kutukanwa humu
Yeye ndio aliinda katiba mbovu akijua kuwa tutakuja kupata dikteta kama mwendazake
Yani watu wanamsahau huyu mzee nyerere
Hajatenda bado, hata JPM aliahidi hivyo kwenye hafla ya Mei mosi.aliahidi atatekeleza kabla hajaondoka madarakani.Kitendo cha kuongeza mishahara ya wafanyakazi na kulipa malimbikizo yao mbona keshamsaliti tayari?
Nadhani hukuisikiliza vizuri hotuba maneno alioongea mengi yalilenga vurugu katika chama chao ndio ujumbe mkubwa waleo kukutana na wapinza nikama uje unikute mimi nafamilia yangu tumetumia asaili na vitumbua alafu wewe tukupake kwenye mdomo kisha tuseme umekula elewa tafadhali fatilia hotuba vizuri ujumbe ndio huoMbowe kachanganyikiwa sana. Majuzi akiongea nyumbani kwake kwa aloita hotuba kwa Taifa alisema amemuandikia baria Rais Samia kumuomba wakutane kuongea mambo ya nchi. Leo anatoka povu wakati Samia amekubali kukutana na vyama vya siasa.
Upumbavu tu
dah maskini mwendazake hadi mataga yanamgeuka sasa? hii kauli alitoa 23 decembber 2018...na hao atcl gawio la faida walitoa ,shame on all of you useless kabisaHizi propaganda za ATCL kupata faida ni kama zile za kuongea na viongozi wa upinzani.
Ukiwauliza report ya CAG iliyowahi kusema ATCL imepata faida iko wapi hawawezi kukuonyesha.
Au ukiwaomba video ya kiongozi au gazeti lililosema ATCL imepata faida hawatakaa wakuonyeshe.
Wao ni kutafuta ikulu kwa uongo uongo tu